The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Kuhani Mkuu,

Kukubali kuongelea suala sio sawa na kuwa wa kwanza kuliongelea. Chenge alipewa data ambazo hakuwa na ujanja isipokuwa kuzikubali.

Pia Chenge ni kama anataka kujiokoa toka kwa hawa Wazungu akiamini ya TZ ana uwezo wa kuyamaliza maana ana visenti. Hivyo visenti haviwezi kumwokoa huku UK. Anachofanya
ni kukubali kule ambako jini likujualo halikuli likakwisha. Alichosahau ni kwamba hata kama akina JK wanaweza kumsamehe lakini wananchi hatuwezi kumsamehe.

Chenge ni fisadi, ni katika watu wachache ambao wamepewa nafasi kubwa na nchi yetu
ikiwa ni pamoja na marupurupu kibao, lakini wao wakaamua kuwa walafi na kuiba zaidi ya pesa wanazozihitaji.

Unaweza kuendelea kumtetea huyu mkuu lakini ukweli unajulikana, katusaliti wote kwa faida zake binafsi. Sawa kila mtu ana makosa yake lakini kwenda kuficha visenti nje ya nchi ni kosa kubwa zaidi. Angalau angeamua kuinvest hapo TZ ningemwelewa lakini alichofanya yeye ni zaidi ya ulafi wa kawaida.

The hypocricy!!
 
Mzee ES, I stand by my statement, SFO did not bring Chenge to UK.

(mambo ya kifamilia if U get my drift)

U have to be very careful kwenye huu mchezo unaochezwa TZ.

Chenge has more money in TZ accts than hiyo UK account, sasa kama ni kweli JK angekuwa anataka kumkamata Chenge wala asingejali mambo ya Offshore acct, sababu Billions of Tshs ziko local kwenye jina lake binafsi mzee wa vijisenti.

Halafu U don't have to prove that BAE paid Chenge, U just have to force Chenge to prove how he got his money. Hii ndio straight forward technique inayotumika kwenye conspiracy na high level fraud.

Moelex23,

Kwa yanayomkabili Chenge sitegemei UK wampe visa ya kuja kutembea UK. Kuna maagizo ya kutosha kuhusu viongozi ambao wanahusika na corruption third world kutokupewa visa ya kuingia UK. Suala la Chenge liko wazi, naamini hana sifa tena za kupewa visa ya UK labda kama serikali ya UK wana nia naye.

Nitashangaa kweli kweli kama Chenge kapewa visa kuja kwa masuala ya kifamilia.

Ukiniuliza mimi kwa uzoefu wangu, nitasema hapa kuna jambo kubwa zaidi ya masuala ya kifamilia.
 
Last G7 meeting iliyofanyika Uk, Mkapa alipokua hapa uk alihojwa kuhusi hii kasumba. akaitetea serikali yake. Mimi naamini huyu bwana alikuwa anajua mchezo uliokua unaendelea.

kwa update ya hiyo SFO investigation soma repori hapo chini ...The unanswered questions (sisi bado tunasubiri majibu!!!!!!!!!! wanyongwe tuna safari ndefu)

The unanswered questions
David Leigh The Guardian, Wednesday May 7 2008 Article historyAbout this articleClose This article appeared in the Guardian on Wednesday May 07 2008 on p6 of the UK news section. It was last updated at 00:09 on May 07 2008.

Yesterday's press conference in which Lord Woolf presented his report on BAE's "ethics" was an uncomfortable affair. The 75-year-old former lord chief justice bridled when he was asked by the Economist about the £6,000 a day paid him by BAE to lead an inquiry on behalf of the arms company.

He said: "I don't deserve to be approached on that basis." The report had taken him and his panel, he said, "nine months of hard work". But for all that effort, the report that emerged yesterday did not answer the questions that have caused international concern.

Woolf's remit was too narrow and tight for him to address issues such as:

· Did BAE set up a secret offshore subsidiary called Red Diamond to handle worldwide cash for arms deals?

· Did the company pay 31% "commission" into a Swiss account on a sale to the African state of Tanzania?

· Did BAE employ Count Alfons Mensdorff-Pouilly, previously caught up in a bribery scandal, as its undercover agent in central Europe?

· Did it provide exotic holidays and prostitutes to the entourage of the head of the Saudi air force?

· Did it pay £1bn to Saudi agents including Wafic Said, and another £1bn to Saudi Prince Bandar? To every question about what BAE may have actually done, Woolf's answer was the same: "We weren't given the job of looking at the past."

He stressed that the outgoing chief executive, Mike Turner, had admitted "that the company did not in the past pay sufficient attention to ethical standards". BAE's opponents may therefore treat with great scepticism the report's list of anti-corruption recommendations for future good practice.

In the US companies which hope for leniency from Department of Justice corruption investigations are generally required first to conduct searching internal inquiries, identify culprits and make full confessions. Woolf's inquiry did not look back.

"The future is much more important than the past," he insisted. The company still faces criminal investigations in London, Washington, Dar es Salaam, Bucharest, Prague, Berne, Budapest and Johannesburg, over continuing multi-million pound arms contracts. Last month Woolf's former colleague, Lord Justice Moses, ruled that the abandonment of the Serious Fraud Office investigation into BAE had betrayed the rule of law. Moses said there had been an "abject surrender" to threats when the SFO, under pressure from BAE, from the then prime minister Tony Blair, and from Prince Bandar, agreed to drop investigations into the Saudi payments.

Asked about that, Woolf said: "It wasn't BAE's fault that the SFO weren't able to finish their task." Asked if he didn't think it inappropriate for him to be working for BAE in view of Moses's words, he added: "No, I don't."

Although critics will call the Woolf report a whitewash, there were two positive sides to it. He demanded that the government reform the inadequate corruption laws which have made it virtually impossible to get bribery convictions against British companies.

And Woolf made plain that BAE's reputation has suffered badly. He said: "The company has continued to suffer reputational damage in respect of its business ethics. The damage flows directly from what is alleged to have happened in earlier years ... there is scepticism as to what extent the company has left its legacy problems behind." To that extent, the Woolf report is a clear call to BAE to clean up its act. It remains to be seen whether, in the absence of any prosecutions, BAE will feel any obligation to comply.

Last night the Corner House, one of the campaigners who won the BAE court case, called the Woolf inquiry "an interesting academic exercise". The group said "BAE should have saved its £1.7m spent on the committee and adopted instead accepted best practice: namely, to employ a law firm as an independent investigator to go through all its internal emails and documents in order to make adequate disclosure to the law enforcement authorities."

When you read this and reflect to the close relationship between Mkapa and Tony Blair, it makes you wonder if Tanzania was used a s a conduit on this contract to make some British officials (including Blair) rich by over charging and bribing military stuff from BAE!

May be Kikwete was right in some way kuwa we need British Government and BAE to reimburse Tanzania the difference!
 
Mzee ES, I stand by my statement, SFO did not bring Chenge to UK.

(mambo ya kifamilia if U get my drift)

U have to be very careful kwenye huu mchezo unaochezwa TZ.

Chenge has more money in TZ accts than hiyo UK account, sasa kama ni kweli JK angekuwa anataka kumkamata Chenge wala asingejali mambo ya Offshore acct, sababu Billions of Tshs ziko local kwenye jina lake binafsi mzee wa vijisenti.

Halafu U don't have to prove that BAE paid Chenge, U just have to force Chenge to prove how he got his money. Hii ndio straight forward technique inayotumika kwenye conspiracy na high level fraud.

Moe,

You nailed it well better than everyone here. Where is our government to ask Chenge and all other Mafisadi to show us how they got rich. There is no need to find from somewhere else, tumiulize hii mijamaa, pesa hizi umezipata wapi? wakishasema walipozipata, tuwaulize vielelezo vya kuzipata fedha hizo na memngine mengi.

Si mnakumbuka vita vya Uhujumu na ile sheria ya 1984, ulikuwa unaulizwa je umepata wapi Colgate na si kwa nini una Colgate!
 
Kuhani Mkuu,
Kukubali kuongelea suala sio sawa na kuwa wa kwanza kuliongelea. Chenge alipewa data ambazo hakuwa na ujanja isipokuwa kuzikubali...

Chenge ni fisadi, ni katika watu wachache ambao wamepewa nafasi kubwa na nchi yetu ikiwa ni pamoja na marupurupu kibao, lakini wao wakaamua kuwa walafi na kuiba zaidi ya pesa wanazozihitaji.

Unaweza kuendelea kumtetea huyu mkuu lakini ukweli unajulikana, katusaliti wote kwa faida zake binafsi. Sawa kila mtu ana makosa yake lakini kwenda kuficha visenti nje ya nchi ni kosa kubwa zaidi...

Nimemtetea wapi Chenge hapa? Tumesema kuna taratibu za kubadilishana wahalifu na masuala ya Jurisdiction baina ya nchi, vitu ambavyo vinaonekana vimepinda katika hii stori ya wachunguzi Waingereza ku execute search warrant iliyo sainiwa na Kikwete (huoni ni kichekesho?). Usipindishe mambo ndugu. Na pointi ya Chenge kusema anachunguzwa pia hukuielewa. Chenge ndie alianzisha uzushi wa kusema anachunguzwa wakati sio kweli. Hukunielewa au unasema namtetea Chenge ili u ride a wave of popular opinion kwa sababu Chenge tunajua ni pariah?
 
mmmmmh,chenge cannot be persecuted in uk.watamchunguza for while then ataendelea kudunda mtaani
 
Kundi la mafisadi limekusanywa pamoja na linaonekana ni kubwa na bado lina nguvu za kufurukuta na kujikomboa kutoka hapo lilipo. Kitakachotokea TZ kwa kipindi cha miezi michache sana ijayo ni JK kupata ajali ya ndege na kututoka ghafla kama Sokoine.

Ni utabiri tu lakini!
 
Yakhe hiyo ni Kufuru bin balaa. Pamoja na kutokukukbaliana nami na Kikwete na kutokufurahia Uongozi wake, kumuombea dua baya kama hilo ni kufuru kwa Mwenyezi Mungu na Taifa letu!
 
..sidhani kama Raisi anasaini-saini tu kila kibali na search warrant.

..nilitegemea IGP, AG, au PS ofisi ya Raisi, ndiyo wenye mamlaka na wajibu wa kutoa kibali hicho.

..halafu inakuwaje raia wa Tanzania achukuliwe na maofisa usalama wa UK na kuondoka naye nchini. hii inakuwa kama kuvuka mipaka na sheria za nchi vile.

..ningependa sana Chenge akamalize masuala yake mahakamani, lakini hii habari inatuacha na maswali mengi kuliko majibu.
 
Imagine nchi kuongozwa na Shein!Mzito toka mdomo mpaka......halafu PM pinda ...mamaah .....naisi kama mchi sasa basi....woooh
 
..sidhani kama Raisi anasaini-saini tu kila kibali na search warrant.

..nilitegemea IGP, AG, au PS ofisi ya Raisi, ndiyo wenye mamlaka na wajibu wa kutoa kibali hicho.

..halafu inakuwaje raia wa Tanzania achukuliwe na maofisa usalama wa UK na kuondoka naye nchini. hii inakuwa kama kuvuka mipaka na sheria za nchi vile.

..ningependa sana Chenge akamalize masuala yake mahakamani, lakini hii habari inatuacha na maswali mengi kuliko majibu.

Uko sahihi. Rais wa Tanzania hana nguvu ya ku sign Search Warrant. Ni Mkuu wa Kituo, deputy wake, au kama wote hawapo, basi Waziri wa mambo ya ndani anateu Polisi wa ku sign Search Warrant.

CRIMINAL PROCEDURE ACT 1985-9
Procudure Relating to Criminal Investigation

Power to issue Search Warrant

38.-(1) If a police officer in charge of a police station is satisfied that there is reasonable ground for suspecting that there is in any building, vessel, carriage, box, receptacle or place:
(i) anything with respect to which any offence has been committed;
(ii) anything in respect of which there are reasonable grounds to believe that it will afford evidence as to the commission of any offence;
(iii) anything in respect of which there are reasonable grounds to believe that it is intended to be used for the purpose of committing any offence, and the officer is satisfied that any delay would result in the removal or destruction of that thing, or would endanger life or property,

he may search or issue a written authority to any police officer under him to search the building, vessel, carriage, box, receptacle or place as the case may be.
 
I thought aliyeidhinisha kusachiwa kwa Chenge alikuwa mwanasheria mkuu..? well at least ndivyo nilivyosikia/ambiwa...as always wengine tunakaa pembeni tunaangalia
 
Yeyote aliyekuwa, hakuwa Rais. Rais hana mamlaka ya ku sign Search Warrant.
 
Chenge amepekuliwa na wazungu kuanzia ofisini kwake mpaka nyumbani kwake, na amekutwa na shillingi billioni moja cash, safari ya UK ilikuwa siri je imatangazwa anywhere zaidi ya hapa JF?

Je Chenge yupo UK au hayupo, Chenge alionyeshwa kibali kilichosainiwa na rais kabla hajaenda India, na alipotaka uthibitisho akapewa kuwa kimetoka kwa rais, akasachiwa baada ya kuachiwa akakimbilia Kwa Mkono, Butiama ndio kwa mara ya kwanza mkono anawafahamisha wakulu wengine kuwa Chenge, amesachiwa na anauhitaji msaada wake lakini hawezi kumsaidia, I can go on and on ila siwezi kwa sababu ya kumridhisha mtu mmoja mwenye majina mia humu, wewe huna dataz na utaendela kusubiri za wengine tu hapa JF na kubaki na logic zako za chooni,

sisi tunasonga mbele, na tutakapozipata zaidi tutaziomwaga, mkuu tumekuambia kuwa umaarufu hapa huletwa na hoja na dataz, sio logic maana kila member anazo hapa, ila hoja na dataz sio kila mtu anazo hapa, kuna wengi hapa kama Lunyungu wameenda kuzitafuta zaidi sisi tumewapa lead tu, ila kuna the zero wa logic ndio kazi kujifanya kujua kumbe hujui nothing, ila ni ujuha tu anytime write, ni pure nonesense!

I stand for kila nilichosema, unless useme ukweli tofauti, logic hata mtoto wangu anazo, ila hoja na dataz hana, kama na wewe ulivyo huna, dawa ni kukaa pembeni upewe dataz hapa tunazo all the time, from day one tulipoingia hapa na tunaendele, hazikusaidiii wewe lakini kuna wengi zinawasaidia, sasa kaaa pembeni!
 
Chenge akifungwa UK ni poa tu sio kama Jela za Bongo vile vile ni bora Chenge atokomee UK kama Balali alivyotokomea USA kwa sababu kubwa moja ushahidi kwa waliobaki Bongo unakuwa rahisi zaidi hivyo kumuacha JK na serikali yake kwenye unafuu wa migogogoro ambayo wanakabiliwa nayo.

Bunge butu ambalo linachechemea linatakiwa kupewa Tiba na kumuuliza maswali magumu waziri mkuu Pinda ili hawa Nguchiro ambao tunao hapa nyumbani wasitokomelee huko ughaibuni bali wasimamishwe kizimbani na kujibu maswali magumu ya kulihujumu taifa.

Nchi imekuwa kama Kichuguu ambako nguchiro wanaingia kama wanavyotaka na kuwapekuwa raia kama vile hatuna jeshi la polisi wetu kufanya kazi hizo. Well wameuza migodi yote pamoja na rasilimali zake sasa wamehamia kuuza raia. Who's next?
 
Chenge amepekuliwa na wazungu kuanzia ofisini kwake mpaka nyumbani kwake, na amekutwa na shillingi billioni moja cash, safari ya UK ilikuwa siri je imatangazwa anywhere zaidi ya hapa JF?

Je Chenge yupo UK au hayupo, Chenge alionyeshwa kibali kilichosainiwa na rais kabla hajaenda India, na alipotaka uthibitisho akapewa kuwa kimetoka kwa rais, akasachiwa baada ya kuachiwa akakimbilia Kwa Mkono, Butiama ndio kwa mara ya kwanza mkono anawafahamisha wakulu wengine kuwa Chenge, amesachiwa na anauhitaji msaada wake lakini hawezi kumsaidia, I can go on and on ila siwezi kwa sababu ya kumridhisha mtu mmoja mwenye majina mia humu, wewe huna dataz na utaendela kusubiri za wengine tu hapa JF na kubaki na logic zako za chooni,

sisi tunasonga mbele, na tutakapozipata zaidi tutaziomwaga, mkuu tumekuambia kuwa umaarufu hapa huletwa na hoja na dataz, sio logic maana kila member anazo hapa, ila hoja na dataz sio kila mtu anazo hapa, kuna wengi hapa kama Lunyungu wameenda kuzitafuta zaidi sisi tumewapa lead tu, ila kuna the zero wa logic ndio kazi kujifanya kujua kumbe hujui nothing, ila ni ujuha tu anytime write, ni pure nonesense!

I stand for kila nilichosema, unless useme ukweli tofauti, logic hata mtoto wangu anazo, ila hoja na dataz hana, kama na wewe ulivyo huna, dawa ni kukaa pembeni upewe dataz hapa tunazo all the time, from day one tulipoingia hapa na tunaendele, hazikusaidiii wewe lakini kuna wengi zinawasaidia, sasa kaaa pembeni!

Kumbe kunaushindani humu? Kumbe ukipata info mtu kasafiri ni data jf? Dont you think Mkono would would be the obvious choice since he runs the most successful international firm in bongo?? and why atakataa kwakuwa yeye ni mwanasheria wa british embassy??? Usilete siasa na maneno meeengi about how long u been at jf...LOGIC is way greater than hisia and vihoja (naona imekugusa sana hadi comparison to your kid?? wow!!! was that necessary mr JF Senior Premium Expert Member??)... Someone is bitter about being criticised?? its a new day at JF...dont matter how long u been a member here..

Kamavipi wekeni rules stating kwamba kuna members info zao can't be disputed...(Weka clear cut evidence and we shall give you your earned thanks)
 
Uko sahihi. Rais wa Tanzania hana nguvu ya ku sign Search Warrant. Ni Mkuu wa Kituo, deputy wake, au kama wote hawapo, basi Waziri wa mambo ya ndani anateu Polisi wa ku sign Search Warrant.

CRIMINAL PROCEDURE ACT 1985-9
Procudure Relating to Criminal Investigation

Power to issue Search Warrant

38.-(1) If a police officer in charge of a police station is satisfied that there is reasonable ground for suspecting that there is in any building, vessel, carriage, box, receptacle or place:
(i) anything with respect to which any offence has been committed;
(ii) anything in respect of which there are reasonable grounds to believe that it will afford evidence as to the commission of any offence;
(iii) anything in respect of which there are reasonable grounds to believe that it is intended to be used for the purpose of committing any offence, and the officer is satisfied that any delay would result in the removal or destruction of that thing, or would endanger life or property,

he may search or issue a written authority to any police officer under him to search the building, vessel, carriage, box, receptacle or place as the case may be.

Mkuu,

Hapa unaongea utafikiri kwa TZ sheria ni msumeno? Kwa Tanzania polisi hawawezi kumsearch waziri bila rais wa nchi kukubali.

Hata kama hakuna sheria ilipoandikwa, usitegemee hata siku moja polisi waende kumsearch waziri wa Tanzania bila rais kuwa na habari.

Ingelikuwa hivyo basi kufikia leo hii mawaziri kibao wangisha chunguzwa maana kuna ushahidi tosha kwamba ni mafisadi.

Kama Chenge alikuwa searched basi rais JK alihusika full stop.
 
Kapinga

Tuambie Chenge yuko wapi hivi sasa kama unazo nyeti? Kuhusu Premium members vipi una beef nalo hilo? Mbona wewe ni Expert member? Rules zipo kwa JF members wote ingefaa utuwekee info za Chenge na tumsute FMES na ukweli maana habari zote nyingi huanza kwa tetesi kama hizi labda uwe GT ndio mashaka hutokea. Kwa hii info FMES anasema ni za uhakika sasa wewe weka za kwako ku-prove otherwise.

BTW kila member anafahamu SFO wanafanya kazi kwa maslahi ya walipa kodi wa UK na si kwa walalahoi wa Bongo.
 
Back
Top Bottom