Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
na muhogo,...mwa na pilipili mwa inakolea ko singo!!!! nakikubali msosi wa kwa mama pale ferry magogoni au holiday inn annexe jirani na kwa prof shaba..we si matani mzee!!! unajua mara nyingine hawa warungu wanadharau misosi yetu so wakifungua outlets wanatujazia ma sandwich na ma hotdog ,,wapi na wapi...ukiwa pale annexe utagundua hata mabosi wamatumbi wenzetu wanakuja...wale wanaogopa protocal wanawatuma madereva na hotpot..ugali ,matembele na dagaa la kigoma topped with maharage ya mbeya,....tsh 600 tu[cents 0.45 usd/belly bursting lunch]..usisahau na ndizi mbivu au parachichi la moro...