Ikiwezekana wabinafsishe tu kile kitengo cha Ferry zote Tanzania nzima...na wafanyakazi wake warudishwe tu ofisini wasubiri mshahara mwisho wa mwezi wa 800k
Huwa watu wanaiba mpaka operation cost zinailemea Serikali, Mfano pale Kigamboni in most time zile ferry zinarun na 2 engines baadala ya nne... hivi hela ya mafuta inaingizwa ya engine mbili kweli kwenye hesabu?.... one engine inakuwa port side mbele na other engine inakuwa starboard side nyuma....with one engines in every position cancelled...