Nimesema Jambo Leo ambacho kimeinclude usomaji magazeti asubuhi ajue Tbc ni ya Taifa SI ya dini moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kuna upendeleo unavyodhani? ni dini gani funguka tujue ajirekebisheNimesema Jambo Leo ambacho kimeinclude usomaji magazeti asubuhi ajue Tbc ni ya Taifa SI ya dini moja
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa...wenyewe wanakwambia wana kitu kinaitwa "weledi"...sijui ni mchele wa wapi huu......mtu yeyote akisemwa ana hiki kitu hua ana peform below international standards...sijui kwanini....Utangazaji ni kipaji na sio mavyeti tu..hawashangai clouds media wanaendelea kuwa relevant kwa kiasi fulani kutokana na kuweka watu wenye vipaji na sio tu degree ya mass communication na journalism..
Sehemu ukichajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
HahahaTBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.
Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Wenyewe weshajuaUnadhani kuna upendeleo unavyodhani? ni dini gani funguka tujue ajirekebishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuitumia tbc na propaganda za ccm channel ten si mmeinunua itumieni kwa matumizi ya ccm Kama gazeti la Uhuru tbc iachane huru Kama ilivyo KBCNdugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Kujitambua kupi? Kwanini umseeme kila mtu eti kwa yeyote? Kwahio kila moja afungwe na itikadi za kisiasa hapana jisemee mwenyewe Mimi naangalia vipindi vya elimu mbalimbali ukizama kiitikadi Chanel zote wamiliki wanaweza kua wanachama wa vyama mbalimbali jee tusiangalie eti sabababu za itikadi zao hatuwezi fika ndugu yanguTbc ni television ambayo haifai kuangaliwa na Yeyote ambaye anajitambua, ina upendeleo dhahiri shahili, ni kama tv ya ccm tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe radhi kaka kina Nshomile hatufanyi kazi TBC.... Sisi ni watu wa CNN....ALJAZEERA. N.kTBC mpaka iwe mpya sio rahisi.
1. Mwandaaji na aina ya vipindi ni vya kizee mno. Ubunifu ni zero.
2. Mnavaa kama madereva na sio watangazaji. Mnekukula mmenenepeana haswa wanawake ni vipipa. Hao rudisha nyuma kuandaa na kuongoza vipindi. Eleweni kutangaza kwenye tv ni zaidi ya kazi ya PR. Muonekano ndio branding. Get people with best voice and appearence plus brains. WAPO TELE.
3. Hamjaweza tumia teknologia ipasavyo. Quality ya video zenu inasikitisha. TV ya Taifa? No way. Mnashindwaje na madogo kama ayo, itv nk ?
4. Wekeni channels tofauti. Say TBC 1 huko wekeni watu wa serikali na programme za kuisifu serikali. Fine. TBC 2 ya biashara na programme zilizochangamka za vijana, kisasa, nk
TBC 3 say International hii ni ya utalii na kwa kiingereza. Huko unaiuza Tanzania duniani na sera ya viwanda na ipatikane free duniani kote na balozi zetu na airport zote na portal zote kubwa. Weka vivutio, mahoteli, mbuga, na quality ya picha iwe ya kimataifa.
5. Hiyo serikali mtandao ionekane kimataifa. Mambo ya passport, viza, uwekezaji na fursa. Wawepo watu wanaojua lugha na sio kiingereza cha kihaya.
TBC bhana kuna siku kulikuwa na event moja hivi Dodoma chuo cha mipango iliyoandaliwa na TBC, kuhusu mambo ya viwanda.
Nilikuwa mmoja wa participants wa hiyo event, sasa wale main characters wakaanza kujitambulisha, mzee mmoja hivi alinifata akaniomba nimtajie spelling za jina la mmoja wa wahusika wakuu wa hiyo event akidai yeye hakuskia vizuri.
Huyo mzee alikuwa ananuka pombe saana na niliskia ni mmoja wa editors wa TBC, halafu anatetemeka hatari yani sio poa. Sasa kwa aina hiyo ya wafanyakazi TBC haiwez fika popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa sana la TBC ni kujiona kuwa wao ndo wasemaji wakubwa na watetezi wa CCM ndo maana imekosa mvuto kila kona ! Hovyo kabisa
Hii ni wengi hatuifuatilii japo baadhi ya ving'amuzi wamejitahidi kuondo local channel ili tuitizame ila badoHii TV hata mwaka unaisha sijaangalia chochote maana nadhani ni TV ya chama na hata kama Mimi ni mwanachama wa chama husika haina maana kuwa hitaji langu kubwa ni kuona mambo ya ki chamachama! Kaeni kama kamati fanyieni kazi mawazo ya watizamaji vinginevyo mtakua wa kuwafurahisha vingozi mnaochukua picha zao wakijaribu Ku view waliyofanya huko mtaani kwenye ziara, mna boa mna boa as if kazi hamjasomea kachukuliwa tu na mjomba ' kusoma si unajua tena kiswahili' njoo upige porojo TV na redio zetu zipo, pia cha ajabu kwa miaka hii MTU hawezi kutofautisha R na L unamweka kutangaza TV ya Taifa shame on you, kuahirisha hawezi kutamka unasikia kuhairisha inatia kinyaa cha kutapisha! Mbona zamani hatukusikia uchafu huo!
Sent using Jamii Forums mobile app