Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 752
- 432
Siku yangu imeanza vizuri sana TV ya chadema mtandaoni ufipa buana kazi wanayo.ww endelea na ile tv yenu ya chadema mtandaoni
Siku yangu imeanza vizuri sana TV ya chadema mtandaoni ufipa buana kazi wanayo.ww endelea na ile tv yenu ya chadema mtandaoni
Milioni 200 ela ndogo sana kufanya mabadiliko..juzi Kati chuoni udsm DEPARTMENT tulipewa mil 100 kufanya marekebisho na manunuzi ya vfaa vya mAzoezi Kama Kama kamera,,mic, na stand..hela haikutosha Sana Sana wamenunua kamera 5 ..na Bado uhaba Ni uleule..angalia channel ten ndo wamehaidiwa kupewa M200 watakuwa wamefanya marekebisho mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee inaeleke wamenunua kamera za maana kamaMilioni 200 ela ndogo sana kufanya mabadiliko..juzi Kati chuoni udsm DEPARTMENT tulipewa mil 100 kufanya marekebisho na manunuzi ya vfaa vya mAzoezi Kama Kama kamera,,mic, na stand..hela haikutosha Sana Sana wamenunua kamera 5 ..na Bado uhaba Ni uleule..
Kwhyo m 200 too little to ensure Chanel ten ama TBC zinakwa za kisasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguzeni kumsifia mkuluu aka maguu !!aisee inaeleke wamenunua kamera za maana kama
Pentax 645Z
Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Yani TBC ina haki zote kuonyesha live wakati timu ya taifa inapocheza lakini haki hyo wamewaachia ZBC ambayo ni pay tvHakuna kitu kisicho na changamoto pamoja na mambo mazuri Rekebisheni yafuatayo,
1.Mpira ni ajira tafadhari tuonyesheni Mpira tunazidiwa na ZBC
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kipi mdau?Halafu Kuna huyo mtangazaji wa Jambo Leo ni mdini sana Kila wakati kwaya na viongozi wa dini yake ndo anawapa fursa ya kuhojiwa
Sent using Jamii Forums mobile app