Hiimkuu inaitwa Time TravelTatizo la hii nchi viongozi huona wananchi wote hawana akili Ila wao tu ndyo wanaaakili. Wanajua wakiweka serial numbers mtagundua mapema kama Walimu hawakufika 13000. Wakiweka vyuo walivyosoma itakuwa rahisi kuwagundua kama wamepika majina. Kuhusu mtu kumaliza form four 2019 na kuajiriwa 2020 kama qualified mwalimu, hii najua Elon Musk anaweza kuielezea inawezekanaje????