Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Tatizo la hii nchi viongozi huona wananchi wote hawana akili Ila wao tu ndyo wanaaakili. Wanajua wakiweka serial numbers mtagundua mapema kama Walimu hawakufika 13000. Wakiweka vyuo walivyosoma itakuwa rahisi kuwagundua kama wamepika majina. Kuhusu mtu kumaliza form four 2019 na kuajiriwa 2020 kama qualified mwalimu, hii najua Elon Musk anaweza kuielezea inawezekanaje????
Hiimkuu inaitwa Time Travel
 
Ndugu embu kasome tena alipoandika mtoa mada.

Mimi kufanya hivyo sikukurupuka.

Embu rudia post yake nilioiquote unipe mrejesho.
Walau sasa hata umebadilisha lugha, umeanza kuongea kwa upole siyo mwanzoni ulivyonijibu kwa madharau.

Na nimerejea kwa mleta mada kama ulivyoshauri, nimeona mleta mada aliandika idadi ya jina kujirudia zaidi ya 196, kaandika jina limejirudia mara 3233.

KWELI NILIKUWA NIMEKURUPUKA.
 
Ndugu embu kasome tena alipoandika mtoa mada.

Mimi kufanya hivyo sikukurupuka.

Embu rudia post yake nilioiquote unipe mrejesho.
Vyovyote vile jina moja haliweI kukaba nafasi 195 watu wasiongee tena kutoka tamisemi? Swala nyeti kama la ajira? Nado hao watoa ajira wamechemka
 
Vyovyote vile jina moja haliweI kukaba nafasi 195 watu wasiongee tena kutoka tamisemi? Swala nyeti kama la ajira? Nado hao watoa ajira wamechemka
Hayo ni makosa wakati wa kuprint.

Sidhani kama ina effect sana.

Ingekuwa limetokeza na katikati hapo kungekuwa na shida.
 
Ushindi wa kishindo
Hongera sana Mwalimu umepata ushindi kama mwenzio mwalimu wa Chemistry shuleni kwangu
 
Rejea alichoandika mtoa mada.

Na hio screenshot.
Sizungumzii kilicholetwa na mtoa mada nazungumzia kauli kwamba jina kutokea mara 196 haina madhara yoyote kama ulivyo sema.

Kama limrtokea mara 196 maana yake kuna nafasi 195 za vijana zimechukuliwa na jina moja
 
Hapana,

Hapo ndio maana nimekuambia itakuwa wakati wa kuprint ndio makosa yalitokea. Watu wa excel wanaelewa.
Ndio maana ukiangalia ilo jina kila page limetole la kwanza.
 
Kwani mtoa mada kasemaje

Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
Sasa kilichokukasirisha ni nn!?
Hujasoma fasihi!?
Hujui tamathali, misemo, nahau, utani?
Hata km hukusoma kwa kiwango kikubwa lakini o-level utakuwa ulisoma, iwe kweny Kiswahili au kiingereza.
Acheni kuhusianisha kila kitu na serikali, vingine ni vyetu tu wananchi
 
Huu haukuwa utani mkuu wangu.

Wala jukwaa hili si mahala pake.
 
Ulivyoandika mbona hazifiki mara hizo ulizoandika na wakati mleta mada alissema jina limejirudia mara 196, na wewe ukaleta kihelehele Cha kuscreenshot Hilo jina ukiwa umeli-search ulimaanisha Nini?

Hukumaanisha kumpinga jamaa kwamba jina halijajirudia mara 196?

Au hata hukuelewa ulichoandika? Kama hukuelewa, tunaoelewa ndiyo tumekuelewa ulimaanisha kumpinga mleta mada kwa uzuzu wako wa kutumia teknolojia.
Wee jamaa umekurupuka vibaya kama kifurushi muwe munasoma kwamakini
 
Back
Top Bottom