Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

"Everything happen for a reason" nilivoona hakuna serial number nilijiuliza sana(kwamba excel ya hao jamaa ilishindwa kabisa kuweka number jibu ni hapana haikushindwa then why?). Nikajipa kaz ya kuhesabu idadi kwa baadhi ya pages,wastani kila page ni kama watu 40,document ina page 196...
Tatizo la hii nchi viongozi huona wananchi wote hawana akili Ila wao tu ndyo wanaaakili. Wanajua wakiweka serial numbers mtagundua mapema kama Walimu hawakufika 13000.

Wakiweka vyuo walivyosoma itakuwa rahisi kuwagundua kama wamepika majina. Kuhusu mtu kumaliza form four 2019 na kuajiriwa 2020 kama qualified mwalimu, hii najua Elon Musk anaweza kuielezea inawezekanaje????
 
Screenshot_20201128-070936.png

Mcheki huyoo.... Combination gani hiyo.!?
 
Umeleta screenshot ambayo imeandikwa 2 of 196, unajua maana yake?

Kama hujui, jua kuwa Hilo jina lipo mara 196 ila hapo ulikuwa kwenye sehemu ya 2 lilipoonekana Kati ya mara hizo 196.

Kama hujaelewa, sema niongeze sauti.
Kwani mtoa mada kasemaje


Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
 
Kwani mtoa mada kasemaje


Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
Ulivyoandika mbona hazifiki mara hizo ulizoandika na wakati mleta mada alissema jina limejirudia mara 196, na wewe ukaleta kihelehele Cha kuscreenshot Hilo jina ukiwa umeli-search ulimaanisha Nini?

Hukumaanisha kumpinga jamaa kwamba jina halijajirudia mara 196?

Au hata hukuelewa ulichoandika? Kama hukuelewa, tunaoelewa ndiyo tumekuelewa ulimaanisha kumpinga mleta mada kwa uzuzu wako wa kutumia teknolojia.
 
Ulivyoandika mbona hazifiki mara hizo ulizoandika na wakati mleta mada alissema jina limejirudia mara 196, na wewe ukaleta kihelehele Cha kuscreenshot Hilo jina ukiwa umeli-search ulimaanisha Nini?

Hukumaanisha kumpinga jamaa kwamba jina halijajirudia mara 196?
Ndugu embu kasome tena alipoandika mtoa mada.

Mimi kufanya hivyo sikukurupuka.

Embu rudia post yake nilioiquote unipe mrejesho.
 
Back
Top Bottom