Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

images.png

Tena.
 
Mh raisi alitumia nguvu kubwa sana kutumbua wafanyakazi hewa

Lakini cha kushangaza tamisemi wanakosa weredi kabisa kwa kuendelea kuajiri watu hewa, ambao hawana vigezo,sijui wanafanya maksudi au ndio utendaji wao kazi

Mh raisi wanakuaibisha sana hawa tamisemi, wanaajiri watu hewa, majina ya kihuni yamejaa humo

Mh raisi ingilia hili swala, pitia majina ujionee mwenyewe, nenda kule tamisemi tumbua wote wanaofanya huo uhuni, futa majina yote

Ni aibu kubwa sana, serikali inatoa ajira kihuni namna hii

Uzi tayar
 
kama haujachaguliwa kwaajili ya GPA yako ndogo tulia kabisa, usimgomanishe raisi wetu na wananchi, tena muache kabisa raisi wetu afanye majukumu makubwa ya kuijenga tanzania
 
Nasikia katika ajira 13800 zilizosemwa na mh.raisi ktka kammpeni hazijatimia... Nikafanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia zile pdf zipo 196 na kila moja iko na majina avrg 45 hivyo kufanya idadi ya waajiriwa wote kuwa 8820-- hadi 9 elfu

Pia kuna majina yaliyo appear kwa nara nyingi.

Hivyo kuna tetesi kutakuwa na wamu ya pili na pia kutakuwa na back-up ya kucover wale ambao hawataripoti kwa wakati katika vituo....

Je kuna ukweli hapo
 
Back
Top Bottom