Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Pole kwa kufiwa na babu yako mwaya. Mimi na dada yetu Natalia tunajitolea helcopter moja ya kusafirisha mwili kutoka mortuary hadi kanisani, then makaburini. Mimi na Paw tutakuja na kindege chetu kidogo, tutabebana na familia yako na close family members tu (jumla 19 pple).
Pole sana mamii.
 
Last edited by a moderator:
RIP Babu, snowhite be of good courage at this "huzun"time. Pole cana

Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Msihuzunike kama wasio na matumaini ya uzima ujao.. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema amrehemu mpendwa babu. Pole sana snowhite..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana snowhite.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.
Pole sana
 
Pole Snowwhite...... tuko pamoja ktk msiba huu mgumu
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unatuambia ili sisi tufanye nini sasa?
Naombeni samahani kabla sijatoa pole kwa snowhite nimtukane huyu Kijakazizenawi.

Hivi Wewe jamaa unazo akili kweli?

Utakuwa uliathiriwa na moshi wa mabomu pale kwenu Mbagala Zakhiem.

Mbona unakuwa mpumbavu na unauliza upumbavu!

We mzinzi nini?

Usimsemee mtu majamvini humu maana hujui kitu kuhusu yeyote...shenzi sana.
Billions of blue blistering banacles in thundering typhoon.
Vandal,
Lunatic.
Absent Minded,
Bitch.

Hata mtoto uliyemzaa nje ya ndoa hawezi kunywa pombe ya mnazi unayotumia wewe, maana inatengenezwa material toka kwenye septic tank...!

Pambaaaf!

snowhite pole sn best yangu. Najua umecopy mengi sn toka kwa babu yako, na utammis sawia.
Iam sorry for any irking language to the nincompoop above.

Tuko pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Life can never stay the same, no matter how we try.Our hands can never stop the clock of life from ticking by.

But love remains unchanged in the care of sorrowful hearts,For as the love of this life surrenders, the love of memory starts.

So sorry snowhite for the loss of your beloved grandpa. My his soul rest in peace till eternity. Have faith in God, he will heal your pain with time.
 
These words works to everybody, including me.
Thanks KOKUTONA.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana snowhite. Pumzika kwa amani BABU.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mamy, Mungu ampumzishe babu yetu kwa amani!
 
Pole sana mpendwa wetu snowhite
Mungu akupe faraja
kazi ya Bwana haina makosa
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    48 KB · Views: 30
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.

RIP BABU...
Mungu akujalie uvumilivu katika kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom