Disminder girl
Senior Member
- Nov 26, 2012
- 156
- 26
mlimpenda lkn Mungu kampenda zaidi May his soul rest in peace.
I wll baby.Give @ Snowhite a big hug for me, please.
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.
Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.
Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.
Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.
mlimpenda lkn Mungu kampenda zaidi May his soul rest in peace.