Tanzia: Diwani wa Kata ya machame Magharibi Mkoani Kilimanjaro,MARTIN Munisi afiwa na baba yake

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Diwani wa Kata ya machame Magharibi Mkoani Kilimanjaro,MARTIN Munisi anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Danieli Ngatara Munisi kilichotokea machame Jana Tarehe 23/11/2018 .

Mazishi yatafanyika siku ya jumatatu tarehe 26/11/2018 nyumbani kwa marehemu kijiji cha Kieri habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote bwana ametoa na bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe

[https://lh3]Diwani Martin Munisi kulia, akiwa na Baba yake mzazi aliyefariki dunia
 
Nilifikir tangazo la kuunga juhudi....kipindi hiki hatuwaoni Tena sijui Magu keshajiuzulu...
 
Maisha nje ya siasa yatuunganishe tusigombane. Pole sana mheshimiwa Diwani.
 
Back
Top Bottom