Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Pole sana SN! Kaunga rekebisha huo mwaka ktk tarehe ya mazishi!
 
Last edited by a moderator:
Polesana Snowhite, RIP babu. Kanisa msewe wapi? roma, lutherani au anglicana
 
Kaunga - Asante kwa taarifa! snowhite, poleni sana kwa msiba; tunamuombea marehemu apumzike kwa Amani
 
Last edited by a moderator:
Pole Snowhite.
RiP Babu. Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.
 
Update:
Tumewasiliana na snowhite ibada ya mazishi itafanyika kanisa la rc msewe ubungo kesho jumamosi saa tano asubuhi na mazishi yatafanyika mchana makaburi ya ubungo rombo.
Rip bibi
 
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.

Kwa hiyo unatuambia ili sisi tufanye nini sasa?
 
kesho misa ni saa 5 kanisa la msewe kisha tutaaga hapa kwa babu ubungo kibo thn mazishi makaburi ya rombo.

Kaunga, post hii ingekuwa vyema uiweke kama update kwenye bandiko mama...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom