TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,548
2,000
Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.

Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.

NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa

Updates kwa yeyote atakayejisikia kwa namna yoyote ile kumshika mwenzetu mkono number ni 0756 865 385 Abel Kahava hapa
giphy.gif
 

Karma

JF-Expert Member
May 20, 2019
23,626
2,000
Kwa mujibu wa maelezo yake mafupi ni kwamba baba yake aliugua ghafla! Akalazwa hospitali tangu jumanne na ndiyo amefariki leo!

Pole nyingi sana kwake na familia yao! Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya baba mahali pema peponi amina!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom