Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Pole sana mdogo wangu snowhite,

Bwana ampatie pumziko la milele mzee wetu....

Raha ya milele upe ee Bwana, na wwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani..amina.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana my wifi snowhite mungu akutie nguvu na awape faraja ya kweli.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada, Mungu azidi kwa faraja yenu mnavyopitia kipindi hiki kigumu. Mmalize pia salama kwa amani na upendo.
 
ahsanteni sana wapenzi wangu.ahsanteni sana kwa faraja yenu.mmekuwa familia kwangu na hakika nawapenda sana

Pole sana Rev. mother; sina maneno mazuri ya kukufariji zaidi ya kukuombeeni tu!
 
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.

RIP Babu..
 
Ameen.
Inasikitisha sana na ninaahidi uwepo wangu.
 
Pole sana snowhite. Mungu akutie ujasiri na uvumilivu katika majonzi ya kuondokewa na Babu yako mpenzi. Marehemu apumzike kwa amani. Amen.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom