Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Tanzia: Snowhite afiwa na babu yake

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi.

Msiba upo Ubungo Kibo (Dar), mazishi yatakuwa kesho (Jumamosi) tarehe 23/02/12 saa nane mchana makaburi ya Ubungo Rombo.

Karibuni tumpe company mwenzetu anapomsindikiza babu yake mpenzi.

Bwana alitoa na Mwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa msiba snowhite.. Marehemu apumzike kwa amani..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na msiba snowhite,with sympathy avec_la_sympathie_la_plus_profonde_carte-p137905582396503305en8zg_216[1].jpg.May you gain the srength to face the loss of your loved one.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana snowhite..Mungu akutie nguvu ktk kipind hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu snowhite Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu "Mungu alitoa na ametwaa Jina lake libarikiwe Amina"
 
Last edited by a moderator:
Mungu awe faraja ktk kipindi hiki kigumu Snowhite,poleni sana
 
bwana alitoa bwana ametwaa,..eemwanga wa milele umuangaziee...milele amina.. RIP BABU SNOWHITE
 
Pole sana snowhite kwa kuondokewa na babu, R.I.P babu wa snowhite
 
Last edited by a moderator:
with great sympathy! pole sana snowhite mwenyezi mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu sana. inna lillah! upumzike kwa amani babu!
 
Pole sana mtani wa mimi...Mungu akupe faraja wewe na familia yako!!!
 
pole sana snowhite, Mungu akutangulie katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na babu
 
Back
Top Bottom