TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

Daudi Safari weka details zaidi za msiba, ili wenye uwezo wa kuhudhuria waweze kufika msibani ili kuwafariji ndugu jamaa na marafiki kama ilivyo kawaida yetu waafrika! Maana leo sunguti2009 kesho Mimi au wewe!
 
Huwezi kuepuka hii Mwali unless kifo chako kiwe chenye siri kubwa kama cha DAUDI Balali

Linahepukika kaka. Thread ikifunguliwa waifunge,
wakifungua tena waifunge tena hadi anaye post ajue na aelewe
kua hatakiwi kuunganisha jina la mtu ndani ya JF na maisha yake halisi. AshaDii aje aandike kua rafiki yake XYZ alifariki siku fulani, saa fulani.
anaweza sema kua XYZ alikua member humu JF ila asitaji ID ya mwali.
Kwani lazima aseme kua XYZ ndie mwali?
 
Last edited by a moderator:
Dear mods and admins,

Siku nikifariki nawaombeni tafadhali msiruhusu thread kama hii kufunguliwa na kuunganisha ID yangu na circumstances za kifo changu unless wanitaje under my real name na wasiweke ID nilio kua natumia.

Imagine marhem alifungua ID akiamini nobody would know who he is so he posted freely. Sasa leo hii kafariki, na watu wanamtambua kumbe ilikua ni fulani. maana kwa description ya ailment, na tarehe/sehem ya kufa, lazima anaye mjua akipita JF atamtambua ni nani.

Jaribuni kufukiria consequences ikiwa huko nyuma aliwahi kupost zile threads za "mpenzi wangu ana mbweche kubwa" or things like that. Na bahati mbaya sasa amefariki hawezi tena kupata nafasi ya kujitetea ikiwa ID yake itaibua scandals.

So not only natoa ushahuri wa bure kuhusu watu kuunganisha ID ya marhem na maisha yake (or kifo chake) but I only leave my will here, for the day I will die. This is name calling in its worse form.

Mwali

Angalizo Zuri
 
Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema
 
Rip ndugu. Mungi jaribu kukopy coment zake nzuri kuliko hizo hapo juu zinataswira isiyokuwa nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Poleni , Alazwe pema na wafiwa wavumilie kwa subira na kuhimili msiba huu wa wote.
 
Rest In Peace
kwani wote ndio safari yetu
 
Pumzika kwa amani mpendwa wetu.
Poleni wafiwa wote na wana JF kwa ujumla.
 
Mods, Badilisheni badala ya Sunguti2019 isomeke sunguti2009. Mwanzoni ilikuwa sawa, sijui kwanini imebadilika

CC: Viwango
 
Last edited by a moderator:
Mbele yetu nyuma yako bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
inasikitisha sana.pole kwetu sote wana jf na familia yake kwa ujumla!
 
As day comes and night falls
For the rest of our life we'll miss y'all
And even though life must go on, we'll still mourn
While wishin' y'all were home.
 
Back
Top Bottom