TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

hii quote hapa chini ni moja ya post aliyowahi kuipost.

quote_icon.png
By sunguti2009
Kama chama hiki cha Baba yako au Mama yako ndo utakiendesha kama utakavyo,kinyume cha hapo tutakutimua na kukupa kichapo.

R.I.P. Kamanda sunguti2009

Kumbe sunguti naye alikuwa mtukutu enzi za uhai wake? Ila mungu yu mwema, sote tu wenye makosa, natumai atamsamehe madhambi yake na kumpumzisha kwa Amani huko mbele ya haki alikotangulia! Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina la bwana libarikiwe!
 
Starehe kwa amani, mbele yako nyuma yetu!

Tuwekewe baadhi ya Maandishi yake enzi za uhai wake tujikumbushe na kuzingatia mema yote alotuachia!

CC: mods!

Hapa alikuwa anachangia kwenye thread ya Mbunge wa CHADEMA (Machemli) aswekwa ndani
Tumefika hapa tulipo kwasababu ya Udhaifu wa Rais Kikwete na upuuzi wa ccm-nanukuu2.
Hapa alikuwa anachangia kwenye Thread ya Ubunge wa Bahi, Mathias Paul Lyamunda
Nina mfahamu kamanda huyu mpambanaji,natambua mchango wake kwenye chama hasa anayoifanya mpaka sasa hapa Arusha,kimsingi ni jembe la kazi litakalowakomboa wana Bahi na wagogo wenzangu,mimi nakwenda kuwakomboa wana mtera kupitia kata ya Fufu-chamwino dodoma.

Hapa alikuwa anachangia kwenye thread ya Kwanini Lema hakuwa maarufu alipokuwa NCCR?
sunguti2009Bangi za asubuhi hizo,nani kakudanganya kuwa mh,lema alikuwa NCCR?unakurupuka bila hata kuvaa chupi.


 
Last edited by a moderator:
R.I.P sunguti duniani tunapita. Umetuachia pengo jf. Mungu awatie nguvu wanafamilia na member wa jf.
 
quote_icon.png
By sunguti2009
Unataka akuoe ndo ujue yupo?sisi wananchi wake tuliemchagua tunajua yupo na anapiga kazi,kama wewe unataka kesi mbake hata mtoto wako-utaipata kesi2-pumbaf
Lala salama Sunguti, Wana JF tutakukumbuka kwa mengi.
 
R.I.P Mkuu Sunguti2019..
Poleni sana wafiwa..
 
RIP Mdau..poleni wafiwa
a-town wing mtatuwakilisha
 
Back
Top Bottom