TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

Apumzike kwa amani.
Msiba huu uwe ukumbusho kwetu kuwa duniani si makazi yetu ya kudumu.
 
Pumzika Kamanda, safari ni moja tutakuja. Nisalimie ndugu waliotangulia
 
RIP

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Starehe kwa amani, mbele yako nyuma yetu!

Tuwekewe baadhi ya Maandishi yake enzi za uhai wake tujikumbushe na kuzingatia mema yote alotuachia!

CC: mods!
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Amina
 
hii quote hapa chini ni moja ya post aliyowahi kuipost.

Kama chama hiki cha Baba yako au Mama yako ndo utakiendesha kama utakavyo,kinyume cha hapo tutakutimua na kukupa kichapo.

R.I.P. Kamanda sunguti2009
 
Last edited by a moderator:
Rest in peace brother. Samahani vipi yule aliyepata ajali moro na dada ake kufariki anaendeleaje?
 
wote njia yetu ni moja tangulia kwa amani.!!
 
Back
Top Bottom