TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la bwana libalikiwe.
Bwana ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen
 
Poleni wafiwa
Mwenyenzi Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi
 
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema na ampe pumziko la Milele katika shamba lake Bwana wetu!

Tulimpenda sana! Lakini Bwana MUNGU mwenye mamlaka mbinguni na duniani amempenda zaidi.

NB

Wewe Daudi Safari kwanini mnaogopaga nini kujitokeza kuwa Member active ndani ya Arusha wing?
Kwa kweli hii tabia Mi nafsi yangu hainipendezi hata kidogo.
Hata hili itabidi tuangalie tena kwa upya member ambao hawataki kujitokeza tukajuana ni nini shida sana.

sunguti2009 Bwana ampe pumziko la milele!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na hawajalie ndugu na marafiki wa marehemu kwenye iki kipindi kigumu!
 
Raha ya milele umpe eehh bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. AMINA
 
Dah, inauma sana! Ila Mungu hawahi wala hachelewi.
Apumzike kwa amani.

User Name: sunguti2009
User Title: Member
Last Activity: 6th November 2013 18:31
 
habari za kifo huwa zinasikitisha sana..R.I.P Sanguti...Poleni sana Wana arusha wing kwa kuondokewa na Kamanda..
 
Back
Top Bottom