TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,137
1,958
Shaibu.jpg

Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.

Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtangazaji mwenzake, Maulid Kitenge, kupitia mtandao wa X, Dida alikuwa amelazwa Hospitalini hapo baada ya kuugua.
 
Apumzike kwa amani Kifo ni fumbo mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi nenda salama jirani yangu kutoka kigamboni na mbweni hapo. Allah amuweke mahala pema peponi Dida. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom