Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,049
- 5,421
Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya
Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya hali yake ya afya kuzorota ghafla.
Pia soma: Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU
Amekuwa akipatiwa matibabu kwa muda kwa ugonjwa ambao bado haujawekwa wazi, tangu baada ya uchaguzi mkuu wa 2022.