Daudi Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 327
- 204
Mods,
Sijui ni jukwaa gani lingefaa kwa hii habari, mtanisaidia kuipeleka jukwaa linalofaa. Ila kwakuwa yeye amekuwa member wa JF na muumini wa jukwaa hili la siasa ni vizuri nikaanzia hapa.
Ni kwamba Member anayejulikana kwa ID ya sunguti2009 amefariki dunia leo jioni hii.
Sunguti2009 alikuwa amelazwa hospitali ya Mount Meru, lakini hali yake ilibadilika ghafla baada ya figo zote kufeli.
Leo hii hii alisafirishwa kwenda kupata matibabu zaidi KCMC, baada ya kupokelewa na madaktari, kabla hajaanza kupata matibabu akawa ameaga dunia.
R.I.P. Sunguti2009.
Nawasilisha

Last edited by a moderator: