TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

Mungu akupe pumziko la milele

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Huyu kamanda Sunguti2009 imeniuma sana. Baadhi ya Members asubuhi ya leo baada ya kusikia hali yake imekuwa mbaya ilitufanye tuchange haraka haraka ili aweze kupelekwa KCMC, tukafanikiwa within a minutes kupata fedha, tukamkabidhi mke wake kwa kweli imetusikitisha sana.

Sunguti2009 alikuwa amejiandaa 2015 anakwenda kugombea kata moja kule Chamwino kuwakomboa wagogo ambao ccm wamewafanya mboga.
Mikakati alikuwa ameshaanza.

Sisi tulimpenda, lakini Mungu amempenda zaidi, jina lake libarikiwe

Kila nafsi itaonja mauti hi ni kauli ya muumba mbingu na ardhi na vilivyomo. Poleni wafiwa. Ndugu yangu mungi ktk msiba kuna kauli zake na ktk majukwaa kuna kauli zake hapa tuko msibani hakuna cdm wala cuf au ccm hata dini hapa hakuna hapa tupo watz tunaomboleza kifo cha mtz mwenzetu..tukimaliza nsiba tutakutana kwenye hayo unayoyataka.
 
inasikitisha sana kuondokewa na mpendwa uliyemzoea katika maisha. RIp mkuu.
 
Angalizo Zuri

Ni kweli ila Mwali anapaswa kujua kuwa hapa Arusha tuna umoja wa wana JF, tuna katiba na viongozi, tuna mpaka bank a/c. Hivyo basi twatambuana kwa IDs zetu siku zote na hatujuani real names.
 
Last edited by a moderator:
Kila nafsi itaonja mauti hi ni kauli ya muumba mbingu na ardhi na vilivyomo. Poleni wafiwa. Ndugu yangu mungi ktk msiba kuna kauli zake na ktk majukwaa kuna kauli zake hapa tuko msibani hakuna cdm wala cuf au ccm hata dini hapa hakuna hapa tupo watz tunaomboleza kifo cha mtz mwenzetu..tukimaliza nsiba tutakutana kwenye hayo unayoyataka.

Nimekuelewa mkuu. nilikuwa naelezea alichokuwa amepanga.

Lakini ndiyo hivyo, historia ya Sunguti2009 imefika mwisho hapa duniani. Tunaamini kuna maisha mengine zaidi ya haya ya duniani yaliyojaa dhiki na mateso mengi, hivyo siku moja tutakutana tena katika mji udumuo.

R.I.P. Sunguti2009
 
Back
Top Bottom