Kwakweli mmetutesa sana TANESCO Kagera wiliya Muleba kata IKONDO leo siku ya pili tunalala gizani na shughuli za kiuchumi zinakwama kukaa gizani cijui ndo mmeona kunatufaa hata sikukuu hatjaifaidi yani Kama tupo kisiwani miaka 61 ya uhuru umeme Bado ni tatizo ni aibu kubwa sana tuhurumieni jamani TANESCO
Ndugu mteja
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.Tunaomba uvumilivu wako wakati unasubiri huduma tafadhali
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
^SK
 
Ndugu Mteja

Tafadhali zingatia kula gharama hizi hazijabadilika toka mwaka 2016

Ahsante sana
Sijaona mtu yoyote akitoa comment kuhusu kauli hii ya Tanesco Official; it means kwakuwa gharama hazikuwahi kubadilika ina maana TARIFF ORDER 2016 inaenda kubadilika; sasa hatujui ni lini na watapandisha kwa kiasi gani hilo ndilo tatizo, na hapo huenda hata wataenda kufanya review ya hizo TARIFF ambazo zipo sasa, kwa Mazingira hayo hata bei za manunuzi ya umeme huenda zikapanda. Rai yangu; tuzingatie maisha halisi ya mtanzania tusifanye kwa utashi wetu. Kuna wengine huko mtaani hiyo laki3 imewashinda sasa ikiwa laki5 wataweza?? Maisha ya mtanzania yataendelea kuwa duni kwa staili hii.
 
TANE.SCO, nimeripoti tatizo la umeme toka tarehe 9/12/2022 saa 1 :38 jioni ticket No# 999686 hadi leo hamjashughulikia. Please naomba msaada wenu 0682598926 Blacket inatoa cheche sana.
 
TANE.SCO, nimeripoti tatizo la umeme toka tarehe 9/12/2022 saa 1 :38 jioni ticket No# 999686 hadi leo hamjashughulikia. Please naomba msaada wenu 0682598926 Blacket inatoa cheche sana.


Ndugu mteja,Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote uliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo. namba yako ya huduma ni #1110325 hakikisha unapatikana hewani. Ahsante. ^EB

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000
 
Ndugu Mteja!
tafadhali onesha taarifa kamili ili wataalamu wetu waje kufanya uchunguzi wa hio meter,Ahsante
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
namba ya meter
Tatizo
makao makuu 0748550000 ^EB
 
Ndugu mteja,Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote uliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo. namba yako ya huduma ni #1110325 hakikisha unapatikana hewani. Ahsante. ^EB

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000
Asante mmekuja na kutusaidia.
 
TANESCO kiukweli mnakatisha tamaa sana.
Mtu haupati kipato consistently.
Kuna shida gani Kimara mwisho?mbona sehemu nyingi za mji umeme umetulia sasa hivi,hii line ya Kimara imepata shida gani?
 
Ticket namba 1127203 na 1127273
Tumereport ni emergency mbona kimya,au mpaka Mtaa uungue ndo mtakuja.
Tumepata ufumbuzi wa kurudishiwa umeme Kwa kuunganisha nyaya zilizokuwa zipo chini. Ila Tatizo la kudumu huenda likaendelea kuwepo,maana hii line Ina miti mingi na miti hiyo hajakatwa,Tanesco fanyeni mpango hii miti ipuruniwe
 
TANESCO USARIVER-ARUSHA
Mnakataje umeme usiku huku maeneo ya Maji ya Chai-Imbaseny.
Hata kama kuna mgao mngekata mchana ,usiku kwa ajili ya usalama sio sawa kukata umeme.Tafadhali rudisheni umeme mpaka muda huu maeneo haya ni giza!
 
TANESCO TANESCO

Kilimanjaro Wilaya ya rombo kuna shida gani mbona
Mnatufanyia hivi wateja wenu

Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman

Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560
Aiseee baada ya kuhangaika Sana toka mwez wa 3 mwaka Jana 2022 wamekuja
Kufunga juz mwez wa 12/28/2022


Mambo n mengi Sana huko kwakweli
 
Back
Top Bottom