TANESCO je, kuna tatizo la kununua umeme kwa mtandao tena leo? Kila mtandao ninaojaribu kutumia kununua patupu
Hivi wakuu wengine mnapata hata nguvu za kununua luku

Mie nimekata tamaa nipo morogoro eneo dumila yaan umeme ni shida sana unakata mno yaani kwa siku unaweza waka lisaa limoja tu
 
Tanesco mkuranga hawajielewi kabisaa tatizo Nini mijumba ya maana huku vikindu lakini hawaleti umeme yani Kuna jirani yangu nguzo imefika tangu mwezi wa 9 lakini nyaya ni tatizo kiukweli mnazingua Sana
 
Hivi wakuu wengine mnapata hata nguvu za kununua luku

Mie nimekata tamaa nipo morogoro eneo dumila yaan umeme ni shida sana unakata mno yaani kwa siku unaweza waka lisaa limoja tu
ndugu mteja, pole sana kwa usumbufu mnaopata
wataalam wetu wanaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma inarejea kama awali
tunaomba sana radhi kwa usumbufu unaojitokeza
 
ndugu mteja, pole sana kwa usumbufu mnaopata
wataalam wetu wanaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma inarejea kama awali
tunaomba sana radhi kwa usumbufu unaojitokeza
Kwani shida ni nini jamani

Watu tunategemea umeme kupata rizik

Yaani hapa umeme week ya3 hii kila siku unawaka lisaa limoja

Lini huduma itarejea?
 
TANESCO naomba msaada, umeme hauingii ndani ya nyumba lakini nimeangalia kwenye rimoti ya luku unit zipo za kutosha tu. Ila kuna alama ambayo sijaielewa, nimeweka picha kwa ufafanuzi
Screenshot_2021-11-27-06-57-53-257_com.miui.gallery.jpg
 
TANESCO Hivi Maeneo ya mburahati na mabibo kuna shida gn...toka jana umeme umekatika saa1 asubh umerud saa 2 usiku..Na leo tena umekatka saa1 asubh...Mnazngua sn aisee..
 
TANESCO haya marekebisho yataisha lini?hivi hii mitambo mnayo nyinyi tu dunia nzima,wengine wanafanyaje hivi vitu bila kusababisha usumbufu mkubwa hivi?na pia niwashauri kitu,kwa uzoefu wangu wa maisha ya Dar,walau siku ya jtano inakuwaga haina mishe sana,shughuli nyingi zinapoa.Ni heri muwe selective siku za kufanya haya mambo yenu zisiangukie wakati wenye shughuli nyingi kama weekend.Mie siwaelewi mnapoakaa jtatu hadi ijumaa halafu matengenezo mje kuyafanya jmosi,kweli?!hivi hamjiongezi wakuu?Eneo lote hilo mlilokata ni shughuli ngapi zimeathirika?na hayo maeneo mengi ni nje ya mji ambako watumiaji wengi ni wa nyumbani na biashara ndogondogo,so huwa bize zaidi weekends!hata mnapofanya kazi zenu kuweni smart kidogo wakuu,hii sio fair,mtu unasubiri wiki nzima uje kupata hesabu zako ijumaa,jmosi,jpili na jtatu halafu ndio siku hizo na nyie mnataka mfanye kazi zenu,kweli?!
20211127_014313.jpg
 
TANESCO naomba msaada, umeme hauingii ndani ya nyumba lakini nimeangalia kwenye rimoti ya luku unit zipo za kutosha tu. Ila kuna alama ambayo sijaielewa, nimeweka picha kwa ufafanuziView attachment 2024731
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
TANESCO haya marekebisho yataisha lini?hivi hii mitambo mnayo nyinyi tu dunia nzima,wengine wanafanyaje hivi vitu bila kusababisha usumbufu mkubwa hivi?na pia niwashauri kitu,kwa uzoefu wangu wa maisha ya Dar,walau siku ya jtano inakuwaga haina mishe sana,shughuli nyingi zinapoa.Ni heri muwe selective siku za kufanya haya mambo yenu zisiangukie wakati wenye shughuli nyingi kama weekend.Mie siwaelewi mnapoakaa jtatu hadi ijumaa halafu matengenezo mje kuyafanya jmosi,kweli?!hivi hamjiongezi wakuu?Eneo lote hilo mlilokata ni shughuli ngapi zimeathirika?na hayo maeneo mengi ni nje ya mji ambako watumiaji wengi ni wa nyumbani na biashara ndogondogo,so huwa bize zaidi weekends!hata mnapofanya kazi zenu kuweni smart kidogo wakuu,hii sio fair,mtu unasubiri wiki nzima uje kupata hesabu zako ijumaa,jmosi,jpili na jtatu halafu ndio siku hizo na nyie mnataka mfanye kazi zenu,kweli?!
View attachment 2024680
Haya saa 4 ndio hii,umeme bado haujarudi.Keep your promise.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Pumbafu zako wewe... pumbafu huyo mkurugenzi wenu... pumbafu huyo waziri wenu... pumbafu huyo Rais wenu... Was*nge kabisa nyie!
 
Songea giza totorooooooooooo, mnapeana posho tu hapo. Mungu awazidishie posho hapa duniani na mbinguni. Makamba ni fursa yenu
 
Mwananchi hili eneo hapa kuna tatizo gani maana maeneo jirani yote umeme ulisharudi toka mchana
Screenshot_20211127-200028.jpg
 
Back
Top Bottom