MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,746
- 22,918
Waziri Makamba: Siku mbili zijazo nitatoa Suluhisho la kudumu la Umeme nchini na tatizo tunalolipitia sasa halitajirudia tena!
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme...