Saa 6 usiku saa hizi mmekata tena umeme Kimara.Mchana tumeshinda bila umeme.mmerudisha jioni saa hizi usiku joto hili watu tumewasha feni tulale mnakata umeme tena.Sasa nyie mna faida gani hapa duniani,si mfe tu?mss!
 
Huduma ilikatika kwa hitilafu kwa mida mchache usiku lakinu tulifanikiwa kutatua tatizo sasa wateja wanafurahia huduma.
 
TANESCO huu umeme mnaokata huku mbezi beach maeneo ya interchick kwakweli sasa imekuwa ni kero, hivi hamuwezi kuamua kutoa ratiba ya kueleweka watu tuelewe kabisa?

Imagine leo no siku ya mapumziko na Kuna mvua tunataka japo kukaa nyumbani mnakata umeme mapema namna hii nyie mpoje????

Na tozo mnachukua tukilipa umeme bado hamuoni hii kero mnayoyupatia???

Kuna siku itafika gari ya TANESCO ilionekana mtaani itachomwa moto ili tuelewe moja hakuna umeme Ila huu ushenzi tumechoka.

Too much
 
Tumepokea taarifa za eneo husika kwa hatua zaidi
 
Nyie TANESCO Mungu atadeal na nyinyi nawaambieni,ngoja tushushe dua,majibu mtayapata mda si mrefu,mtajua huo umeme ni wenu au wa watanzania wote!
20211128_115411.jpg

TANESCO hii imefika huko uliko eeh?!we endelea kudeal kwa masikhara na watu usiowajua humu mitandaoni.
 
Pole na majukumu.
Mi ni mteja wenu, nyumba yangu iko karagwe, kayanga. Nyumba yangu iko jirani Ofisi zenu. Kama miaka mitatu iliyopita mita ya TANESCO iliyokuwa imefungwa nyumbani kwangu iliibiwa. Nilipopata taarifa nikaripoti kwenu, lakini nikaripoti na polisi na kupewa R.B.

1. Nilitaka kujua mita hiyo haijafungwa kwa mteja mwingine?
2. Ni loni mtanifungia mita nyingine? Tangu nitoe ombi hilo la kufungiwa mita nyingine naona mnanipotezea tu, mnataka nilipe sh ngapi tena?.
3. Kwa hiyo mita inaweza kuwa inatumika kwa myeja mwingine?
 
TANESCO Mwanza mnachokifanya sio uungwana hapa barabara ya SIMA mtaa wa Mgunda tumewapa taarifa tangu siku ya alhamisi waya umekatika upo chini hapo pembeni kuna shule ya chekechea
Kila mkipigiwa simu majibu yenu ni "Asante kwa taarifa tunashughulikia swala lenu"
Waya wenyewe upo wazi
 
Pole na majukumu.
Mi ni mteja wenu, nyumba yangu iko karagwe, kayanga. Nyumba yangu iko jirani Ofisi zenu. Kama miaka mitatu iliyopita mita ya TANESCO iliyokuwa imefungwa nyumbani kwangu iliibiwa. Nilipopata taarifa nikaripoti kwenu, lakini nikaripoti na polisi na kupewa R.B.

1. Nilitaka kujua mita hiyo haijafungwa kwa mteja mwingine?
2. Ni loni mtanifungia mita nyingine? Tangu nitoe ombi hilo la kufungiwa mita nyingine naona mnanipotezea tu, mnataka nilipe sh ngapi tena?.
3. Kwa hiyo mita inaweza kuwa inatumika kwa myeja mwingine?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Waya upo wazi Tanesco Mwanza naomba mlitambue hili

View attachment 2026059
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Abdallah Hassan
Eneo la tukio ni mtaa wa Sima nyuma ya shule ya msingi Mzigu, kwenye nyumba za kilimo
Wilaya ni Nyamagana
Namba ya simu........
Tatizo ni waya kukatika
Tika siku ya alhamisi tarehe 24
Namba ya taarifa ni 0783722610
Mwanza
 
Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15

Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.

Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
 
Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15

Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.

Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15

Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.

Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
Wewe utakuwa jirani yangu Ukonga, siku ya jana ilikuwa ovyo kabisa, zima waka zima waka, ovyooooo.
Halafu wewe Mwanangu kabisa asee, nilikuwa sijakusoma jina.
Bwana Justus, Pole sana.
 
Back
Top Bottom