Tanesco Tanga hiyo hapo 0715768589Hii namba ya Tanesco Tanga au ya wongo, nimepiga kapokea mtu kabla ya kumuuliza chochote akaniambia umekosea namba na akakata simu!View attachment 956096
Mimi nataka namba ya Tanesco Tanga wewe unanipa ya Tabata!Tanesco Tanga hiyo hapo 0715768589
Oh sorry nimejichanganya ngoja nikupe ya Tanga.Mimi nataka namba ya Tanesco Tanga wewe unanipa ya Tabata!
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779 jaribu hizo...nimezitoa humu humuHii namba ya Tanesco Tanga au ya wongo, nimepiga kapokea mtu kabla ya kumuuliza chochote akaniambia umekosea namba na akakata simu!View attachment 956096
Ahsante sana ila mojawapo ya hizo ni ile ninayoilalamikia.0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779 jaribu hizo...nimezitoa humu humu
au kama vipi nipe home work baadae kidogo kama masaa 2 hivi nitakutumia hizo namba humu humuAhsante sana ila mojawapo ya hizo ni ile ninayoilalamikia.
Nitashukuru sanaau kama vipi nipe home work baadae kidogo kama masaa 2 hivi nitakutumia hizo namba humu humu
Dakika 45 mkuu....Nitashukuru sana
0658122412 hiyo hapo mzee babaNitashukuru sana
Yani leo kutwa nzima Mwenge tumeshinda bila umeme,kwa mwendo huu Tanzania ya viwanda itabaki kwenye makaratasi tu