Tanesco mnakela sana. Huku sengerema huwezi kuwa na uhakika na kazi yako inayo tegemea umeme labda uwe na umeme wa ziada. Ni lini umeme utakaa utulie kabisa. Wapo waliojiajiri kupitia umeme na wanalipia kodi serikalini na TRA hawana huruma kwa kuwa umeme wa shida wao wanataka pesa tu. Tanesco bado
 
Mazaya
Jina ulililolipia...eneo na namba ya simu tafadhali
Naomba mnisaidie kuwafatilia hawa Tanesco Mbagala.Tumelipia nguzo toka March lakini mpaka leo ni kalenda za kuwekewa umeme.Mwezi wa tisa wameleta nguzo na wamezibwaga chini.baada ya mwezi wamekuja kuzisimamisha lakini mpaka sasa hawataki kuunganisha umeme.Tatizo hasa ni nini?Mbona mnafanya kazi kwa mazoea sana jamani?Mtabadilika lini.Kuomba huduma ya umeme na hela unatoa inakuwa kama unaomba bure?
 
Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
 
Tanesco mnakela sana. Huku sengerema huwezi kuwa na uhakika na kazi yako inayo tegemea umeme labda uwe na umeme wa ziada. Ni lini umeme utakaa utulie kabisa. Wapo waliojiajiri kupitia umeme na wanalipia kodi serikalini na TRA hawana huruma kwa kuwa umeme wa shida wao wanataka pesa tu. Tanesco bado
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Shirika la umeme TANESCO wilaya ya SONGEA mkoani RUVUMA...mmezidi kukatakata umeme bila utaratibu maalumu, bila taarifa kwa wananchi. Tunajua kunachangamoto kubwa katika huduma ya umeme nchini kwetu, lakin huku SONGEA kuna balaa. Ukikaa masaa mawili bila umeme kukatika mpaka unashangaa. Wilaya imeinganisha katika Grid ya Taifa lakin mizengwe ndi inazidiiii.
TANESCO SONGEA MNANINIIIIIIIIIII....
Upo eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Tanesco mkoa wa Kigoma tunaomba mtwambie mna matatizo gani, mbona hatuwaelewi. umeme unakatika mara kwa mara, tunaomba tuambiwe kama mmeanza mgawo.
 
mimi nanunua umeme wa 9150 kwa mwezi unit napata 75 lakini sizimalizi kuna unaulazima kila mwezi kununua wakati bado nina umeme? Tanesco naombeni ufafanuzi
 
Mimi ni mteja niko Babati, nimefungiwa umeme siku kumi zilizopita nikapewa umeme uniti 10, umeme ukakaribia kwisha na nikaenda Tanesco nikaambia ninunue na kulipia uniti 50, ingawa hizo uniti 40 sikupewa. Nimelipia lakini ni zaidi ya wiki sasa hizo uniti 40 sijapata, na niliambiwa zikiwa tayari watanipigia simu ili nizifuate Tanesco na kusaini. Sasa sielewi uniti nimelipia halafu sipewi mpaka watakaponipigia simu!!? Hii huduma mbona inakera?
Mita no: 54182502994
Wilaya: Babati
Karibu sana mpendwa mteja wetu tunashukuru kwa ushirikiano uliotupatia kwenye kufanyia kazi swala lako
 
Back
Top Bottom