Omari Makoo
Member
- Sep 6, 2016
- 78
- 39
Nimetoa taarifa Tanesco wilaya ila mpaka Sasa hatuna umeme na tatizo Lilianza ijumaa iliyopita....Umeme umekatika kwenye nyumba yetu yenye meter nunber 37154698759..naa huu Hapa chini ndio muonekano wa meter
Nimetoa taarifa Tanesco wilaya ila mpaka Sasa hatuna umeme na tatizo Lilianza ijumaa iliyopita....Umeme umekatika kwenye nyumba yetu yenye meter nunber 37154698759..naa huu Hapa chini ndio muonekano wa meter
Naomba mnisaidie kuwafatilia hawa Tanesco Mbagala.Tumelipia nguzo toka March lakini mpaka leo ni kalenda za kuwekewa umeme.Mwezi wa tisa wameleta nguzo na wamezibwaga chini.baada ya mwezi wamekuja kuzisimamisha lakini mpaka sasa hawataki kuunganisha umeme.Tatizo hasa ni nini?Mbona mnafanya kazi kwa mazoea sana jamani?Mtabadilika lini.Kuomba huduma ya umeme na hela unatoa inakuwa kama unaomba bure?Mazaya
Jina ulililolipia...eneo na namba ya simu tafadhali
Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu mpendwa mteja wetuNaomba mnisaidie kuwafatilia hawa Tanesco Mbagala.Tumelipia nguzo toka March lakini mpaka leo ni kalenda za kuwekewa umeme.Mwezi wa tisa wameleta nguzo na wamezibwaga chini.baada ya mwezi wamekuja kuzisimamisha lakini mpaka sasa hawataki kuunganisha umeme.Tatizo hasa ni nini?Mbona mnafanya kazi kwa mazoea sana jamani?Mtabadilika lini.Kuomba huduma ya umeme na hela unatoa inakuwa kama unaomba bure?
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mtejaTanesco mnakela sana. Huku sengerema huwezi kuwa na uhakika na kazi yako inayo tegemea umeme labda uwe na umeme wa ziada. Ni lini umeme utakaa utulie kabisa. Wapo waliojiajiri kupitia umeme na wanalipia kodi serikalini na TRA hawana huruma kwa kuwa umeme wa shida wao wanataka pesa tu. Tanesco bado
Upo eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mtejaShirika la umeme TANESCO wilaya ya SONGEA mkoani RUVUMA...mmezidi kukatakata umeme bila utaratibu maalumu, bila taarifa kwa wananchi. Tunajua kunachangamoto kubwa katika huduma ya umeme nchini kwetu, lakin huku SONGEA kuna balaa. Ukikaa masaa mawili bila umeme kukatika mpaka unashangaa. Wilaya imeinganisha katika Grid ya Taifa lakin mizengwe ndi inazidiiii.
TANESCO SONGEA MNANINIIIIIIIIIII....
Siwezi kuweka details zote public.Naomba namba ya simu au email ya kukutumia hizo details.Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
Angalia inboxUmelipa kwa jina gani na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
Karibu sana mpendwa mteja wetu tunashukuru kwa ushirikiano uliotupatia kwenye kufanyia kazi swala lako