MIMI NIKIINGIZA NUMBER NILIZOPEWA INAANDIKA REJECT. JE NIFANYEJE? NIKO GIZANI SIKU YA NNEasante mkuu
Tunaweza kupata namba zako za mawasiliano mkuuTanesco tunaomba mtuambie ni nini tumewakosea sisi wananchi ya Kata ya Mbingu kuhusu Umeme maana awamu ya pili ilikuwa ni kuunganisha kutoka Mngeta hadi Idete na mmekamilisha laini kubwa na zile za mitaani mmesha ziweka mbaka transfomer mmesha weka cha kushangaza mmewasha umeme baadhi ya kata lakini kata ya Mbingu amjawasha na mnakuja mnatuambia inabidi tuwape pesa ina mana mnataka rushwa?? Mheshimiwa Raisi na Tanesco mkoa, tunaomba tusaidie sisi wapiga kura wako huku tunanyanyasika sana na hawa Tanesco wilaya ya Kilombero.
Habari mkuu,Tanesco mkoa wa Lindi mna matatizo sana,umeme mda wote unakatika na kurudi ata mara 15 Kwa siku,tena wakati mwingine tunakaa ata nusu siku bila umeme,mwanzo mlisema kituo cha mahumbika kikamilike sasa hivi sijui mtasingizia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nini sasa? nyinyi njoeni eneo husika Kata ya Mbingu, wilaya ya Kilombero- mkoa Morogoro ili mtupe majibu ni lipi linalofanya umeme usiwashwe hiyo kata wakati sehemu zingine zote tayali.Tunaweza kupata namba zako za mawasiliano mkuu
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Kama mawasiliano wasiliana na meneja Tanesco wilayaTunaweza kupata namba zako za mawasiliano mkuu
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Naona tanesco mnachagua maswali ya kujiHabari mkuu,
Tunalifuatilia na tutakupa mrejesho
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Tunaomba swali lako tukupatie ufafanu mpendwa mtejaKama tanesco mnachagua maswali ya kujibu kuna aja gani ya kufungua uzi humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Malalamiko yangu ayo hapo...Tanesco, kiukweli nimefadhaika sana baada ya kufata process zote za kufungiwa umeme na baadae kukamilisha malipo
Baada ya kutajiwa gharama na kukamilisha malipo ndani ya siku iyo iyo na kungojea kufunguwa umeme ndani ya siku 30 za kazi badala yake imegeuka kuwa kero tu,
badala ya kupewa huduma yangu stahiki naambiwa nisubiri mpaka pale vitu vitakapopatikana wakati siku 30 zimeshayoyoma mnanitumia sms za kukatisha tamaa kabisa
Mbona wakati mnachukua pesa yangu imeingia faster kwenye account yenu ila umeme kwangu ndo imekuwa kero kiasi ichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio sms yenu mmenitumia kwenye simu yangu
HABARI NDUGU MTEJA TUNAOMBA RADHI KWA KUKUCHELEWESHEA KUPATA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME, KUTOKANA NA UHABA WA VIFAA. TUNAFANYIA KAZI SUALA HILI PINDI TUTAKAPO PATA VIFAA TUTAKUPIGIA SIMU KWA AJILI YA KUKUJENGEA! ASANTE KWA KUWA MILIVU.. NI SHIRIKA LA UMEME TANESCO KINONDONI KUSINI [MBEZI].
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba yako ya simu tafadhaliNina miezi 6 tangu nihamie Temeke vertenary kwa mhindi, hakuna siku umeme haujakatika, kila ukiwapigia simu watu wa Emergency wanakuambia wanashughulikia, why kila siku?
Sent using Jamii Forums mobile app