Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapi mkuu tukuhumieTanesco kwakweli mnakera sana kuanzia humu mpaka kwenye uhalisia....nimewapa malalamiko yangu hapo juu ila mnayapotezea...mnajibu ya watu wengine ambayo ni mepesi mepesi..kuweni na uungwana basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ndugu zangu mbona mnaniuliza ili swali hii ni mara ya 3 sasa, na nimeshawaonyesha hapo
Tumekuomba ulipost tena tukujibuJamani ndugu zangu mbona mnaniuliza ili swali hii ni mara ya 3 sasa, na nimeshawaonyesha hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba namba yako ya simu ili tuliwasilishe kwenye ngazi ya ufatiliajiTanesco mnenipitishia waya za HT kwenye nyumba yangu nimekwenda mkuranga kulipot baada ya muda wakaleta nguzo ili waamishe wakaoneshwa pa kuhamishia lakini hao wakalazomish wapitishe sehemu ya mtu mwingine wanayotaka wao sasa mwenyewe kagoma cha kushangaza wanalazimisha waya zibaki hapo hapo kwangu ishafika mahali siwaelewi sasa kilichobaki najiandaa kwenda mahakani nikaone sheria ya kulazimisha kupitisha HT nyumban kwa mtu mumetoa wapi tena waya ziko chini chini si mnataka kuniuwa na familia yangu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeipokea mpendwa mtejaTunaomba namba yako ya simu ili tuliwasilishe kwenye ngazi ya ufatiliaji
Sent using Jamii Forums mobile app
0766281217Tunaomba namba yako ya simu ili tuliwasilishe kwenye ngazi ya ufatiliaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco, kiukweli nimefadhaika sana baada ya kufata process zote za kufungiwa umeme na baadae kukamilisha malipo
Baada ya kutajiwa gharama na kukamilisha malipo ndani ya siku iyo iyo na kungojea kufunguwa umeme ndani ya siku 30 za kazi badala yake imegeuka kuwa kero tu,
badala ya kupewa huduma yangu stahiki naambiwa nisubiri mpaka pale vitu vitakapopatikana wakati siku 30 zimeshayoyoma mnanitumia sms za kukatisha tamaa kabisa
Mbona wakati mnachukua pesa yangu imeingia faster kwenye account yenu ila umeme kwangu ndo imekuwa kero kiasi ichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio sms yenu mmenitumia kwenye simu yangu
HABARI NDUGU MTEJA TUNAOMBA RADHI KWA KUKUCHELEWESHEA KUPATA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME, KUTOKANA NA UHABA WA VIFAA. TUNAFANYIA KAZI SUALA HILI PINDI TUTAKAPO PATA VIFAA TUTAKUPIGIA SIMU KWA AJILI YA KUKUJENGEA! ASANTE KWA KUWA MILIVU.. NI SHIRIKA LA UMEME TANESCO KINONDONI KUSINI [MBEZI].
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, kama kazibyako haina nguzo TANESCO tutakujengea umeme ndani ya siku 30 za kazi.
Ndugu mteja kama umelipia mwezi wa saba bado siku 30 za kazi hazijaisha, tutaifuatilia kazi yako
Asante
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Siku zinazohesabiwa no za kaziMna maana gani mnaposema siku 30 hazijaisha toka tarehe 10/7/2017 mpaka Leo tarehe 22/8/2017? au nyie mnahesabu tofauti?