Kila siku mnakata umeme kimara, sasa Biashara zetu zinazotegemea umeme zinakwama.yan kila siku hata Leo , juz mmekata siku mbili , majuz , jana bila taarifa. Mnaturudisha nyuma. Ila mnatakiwa mpate msaidizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO Tumewachoka kila iitwapo leo mnakata umeme kimara ,?
Shida ni nn ?
Mnataka tuzalishe vp wakati kila siku mnakata week 2 zote hamna siku msiyokata ?
Sasa hamtoi taarifa mnakata tu. Kinachofata ni kuanzisha uzi kuhusiana na mnavyo tufanyia .Bcoz hamvumiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nyie TANESCO mmenishangaza sana nimetoa malalamiko yng kuhusu tatizo la umeme Liwale lkn kuna wafanyakazi wenu wanatoa kauli ambazo kwa tafsiri yake ni km wanatutishia sisi wananchi yn inaonesha kwamba tusiwe tunatoa kero zetu bali tuwe tunawasifia tu kuna mfanyakazi wenu alinipigia simu anasema natoa habari za uongo kwamba Liwale hakuna tatzo la umeme wakati ukweli halisi kuna tatizo kubwa la umeme huyo jamaa namba zake ni 0782 546 024 badala ya kufanya uchunguzi yeye analazimisha kwmb umeme upo Liwale na wananchi wanasifia kwmb umeme haukatiki katiki wakati ukweli ni kwamba umeme uku Liwale haueleweki isitoshe yeye anaishi Dar hajui chochote kuhusu Liwale na kinachonishangaza zaidi anataka kutuma watu wake tukutane nyumbani kwng kana kwmb mm ndo mwenye shida ya umeme peke angu ilihali tatizo ni la Liwale nzima ss badala ya kusolve hii changamoto inageuka uhasama baina ya shirika na sisi walipa kodi tunaomba watumishi TANESCO mtusaidie cc wananchi na co kututishia kwn hz kero tunapozitoa tunazielekeza kwa shirika na co mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa shida yako ile hawakuitaji kuomba namba ya sim kwa kua tatizo ni la jamii... inaonekana walitaka namba kwa ajili ya kukuziba mdomo......
 
Kweli kabisa katoto22october mana jamaa aliponipigia maneno aliyoongea mpk nkashangaa anasema eti wananchi wa Liwale wanaipongeza TANESCO wkt co kwel umeme jana tu ulikatika zaidi ya mara tatu na apa saiz hamna umeme ni mambo ya ajabu sana

Me nadhani haya mashirika yetu mengine haya Mheshimiwa angeajiri wazungu pengine unafuu utapatikana mana hawa waliopo wanashindwa kwenda na kasi anayoitaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakato mwanza watumishi wenu wamezidi kwa rushwa jaman...pia kuna wengine wanatumia nembo ya tanesco kutuibia wateja...mifano ni mingi. Ukipeleka malalamiko kwa afisa usalama wa kanda ya mwanza unanyimwa fursa ya kuonana nae. Nikiweza ntawataja kwa majina na pia ofisi za Nyakato na mjni wanataarifa ila hakuna hatua inayochukuliwa kwa wahusika.

Nadhani wasaidizi wa Mkuu wa nchi wapo humu na wanaona malalamiko yetu tunatumai hawatasita kuyafikisha panapo stahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Mbeya!!!!!! Fomu yangu ina miba? Tangu mwezi wa tisa hamjanitumia sms ya malipo, nimefunga safari zaidi ya mara tano mnaniambia kesho.

Eti nguzo ninunue wakati tuliambiwa nguzo moja bure.

Ngoja nikanunue mishumaa na mafuta ya taa niendelee kupata mwanga hafifu kwa kuwa sikuzaliwa na umeme!
 
Tanesco Mbona sielewi ?
IMG_2644.JPG
 
Ndogo inaonekana umekatwa deni la Tshs.3,562.40,inabidi uongeze pesa upate 'unit' zaidi.
Vile vile,muhimu kufahamu aina ya deni unalodaiwa.!!!
 
Tanesco Kimara mna matatizo gani wiki hizi mbili?Kwanini umeme unasumbua hivi?Usiniulize namba ya simu nimeshakupa location ni kote kuanzia Ubungo,Kimara hadi Mbezi umeme unakatika mno.
Hivi Tanesco hili suala lina siri gani,kwanini inapofika miezi kuanzia October hadi February huwa huduma zenu za umeme ni mashaka sana?Nawafuatilia miaka mingi iko hivi yaani ikishafika miezi hii ya October,November,December huwa kuna umeme kukatika mno.Sijui siri ya hii ni nini.Tumeenda mwaka vizuri sana huu ila tayari saa hizi ni full matatizo.Mnaua uchumi wa mtu mmoja mmoja jamani.
 
Back
Top Bottom