Tunapenda kukujulisha kuwa miradi ya REA inawesezeshwa na Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, pili maeneo yote ya vijiji iwe REA au vingenevyo wateja wote wanalipia tsh 27000 tu.
Kwa iyo ile REA tunayokatwa wakati wa kulipa bili ni mali ya serikali?
 
Mimi ni mwananchi ktk wilaya ya karagwe, kwa ajili ya shughuli za kiuchumi nyumba yangu iliyoko Kayanga karibia na Ofisi za Tanesco wilayani, siishi huko. Watu walikwenda kwenye nyumba yangu wakaiba Meter ya umeme, mpaka. Nikalipoti kwenye ofisi za Tanesco na kulipoti Polisi kuhusu wizi huo.
Mpaka ninapo andika huu ujumbe sijawahi kurudishiwa umeme.
Swali, Je inakuwaje mita yangu inaibiwa? kwani kuna soko la hizo mita?
 
Swali:
Nimehamia kwenye nyumba ambayo mita yake inatafuna umeme sio kawaida, nasema hivi kwa kuwa Vitu nilivyokua natumia nilipokua kwenye nyumba ya awali ndio hivyohivyo katika nyumba hii mpya.. Nimeita fundi wa wiring kafanya wiring upya ila bado matumizi yanaonekana ni makubwa mno.. Mfano.. Unit 14 zinatumika kwa siku mbili kama tumeshinda nyumbani na kuwasha TV na radio tu.. Tatizo hapo linakuwa nini? Utatuzi wenu kwenye hili ukoje?

Asanteni
Tunapenda kukujulisha kuwa miradi ya REA inawesezeshwa na Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, pili maeneo yote ya vijiji iwe REA au vingenevyo wateja wote wanalipia tsh 27000 tu.
 
Tunaomba ushirikiano wako kwani kutoa tuhuma bila ushirikiano ni kushindwa kusaidia kutatua tatizo.Tunaomba taarifa kamili maana wakati mwingine mnakutana na vishoka mtaani mnaandika na kutuchafua kwanini usiwe muwazi hatua zichukuliwe?
Siyo kuwachafua ila ndo uhalisia, kama unabisha hebu jaribuni kutembelea ofisini zenu sehemu ya maulizo tu pale ambapo formu zinapopokelewa, halafu muangalia tarehe na muangalie pia idadi ya fomu ambazo ziko pending.
 
Malalamiko yangu makuu kwenu ninyi Tansco, mkoa wa Arusha, wilaya ya meru kituo cha Tanesco Usa-River, wakazi wa eneo la Gomba Estate, kata ya manyire tunateseka sana. Umeme kila siku lazima ukatike kwa walau masaa matatu.. na unakatika mida muhimu ya jioni ambapo watu ndo wametoka makazini wamepumzika kuanzia saa kumi na mbuli na nusu jioni mpaka saa nne usiku.. Inakua kero kupita maelezo.. tunaomba ufafanuzi. Ni kwanini wakati maeneo mengine hayana mgao???? Au kwakua wakazi wa maeneo haya si wengi?? Huo ni uonevu uliokithiri..
 
Habari ya mda huu wana jamvi.Nipo hapa Masasi almost miezi 3 sasa,kitu Cha kushangaza ni huu mtindo wa umeme kukatika na kuwaka yaani imekua ni kitu Cha kawaida kabisa.Suala la umeme kukatika hata mara 10 per day ni kawaida tuu na Wala hawatoi taarifa yoyote Cha kusikitisha zaidi wenyeji hawana time ya kuhoji.Mfano Jana umeme wamekata asubuhi wamerudisha saa Saba usiku.Please Kama Kuna wahusika humu naomba wanijuze kunani Tanesco Masasi?Povu ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiuliza hivyo utaambiwa wewe sio mzalendo unataka kukwamisha juhudi za kuleta maendeleo
 
Kwa nini kipindi cha mvua umeme kwenye nyumba ninayokaa huzima lakini nyumba zingine hauzimi? Na ukizima unaweza ukamaliza siku tatu ndo unarudi,shida ni nini? Naomba majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO TANESCO TANESCO .. mbona mnatutesa hivi jamani???? niko gizani tangu saa moja jioni sasa ni saa tisa kasoro usiku.. kuunganishiwa umeme nilikopa.. nikapeleka hela tanesco almost 3.9m.. ili kurudisha deni, ninafanya biashara ya nyama ya kuku na samaki na nina mafreezer nyumbani. Mnataka kuniua na ugonjwa wa moyo jamani???? Tanesco ninawaomba kwa heshima na taadhima sikilizeni Wateja wenu.. nilitoa lalamiko langu juzi kuhusu umeme kukatika wiki hii mfululizo nyakati za jioni maeneo ya Gomba Estate kata ya Manyire - Arusha. Tunahudumiwa na kituo cha Usariver.. kila nikipiga simu za dharura usariver wanasema watatuma mafundi.. wiki nzima sasa hamna unafuu na hali inazidi kua mbaya. Tuhurumieni jamani.. mtatuua kwa presha.. kuunganisha umeme tunalipa, luku tunalipia, bado mtutese kiasi hiki??? Hata Mungu wa mbinguni anawaona..
 
pole sana mkuu.hili shirika linabaazi ya wafanyakazi wake ni miungu watu wanazarau sana.ila kunawengine wako safi.hao watu wa dharula wengi wao hawafai kabisa
 
Asante sana mkuu. Umeme umekatika jana jioni saa moja. Umerudi saa kumi na mbili na dakika 9 asubuhi, ukawaka dakika 5 umekatika tena. TANESCO mbona hivi jamani....
 
TANESCO TANESCO TANESCO .. mbona mnatutesa hivi jamani???? niko gizani tangu saa moja jioni sasa ni saa tisa kasoro usiku.. kuunganishiwa umeme nilikopa.. nikapeleka hela tanesco almost 3.9m.. ili kurudisha deni, ninafanya biashara ya nyama ya kuku na samaki na nina mafreezer nyumbani. Mnataka kuniua na ugonjwa wa moyo jamani???? Tanesco ninawaomba kwa heshima na taadhima sikilizeni Wateja wenu.. nilitoa lalamiko langu juzi kuhusu umeme kukatika wiki hii mfululizo nyakati za jioni maeneo ya Gomba Estate kata ya Manyire - Arusha. Tunahudumiwa na kituo cha Usariver.. kila nikipiga simu za dharura usariver wanasema watatuma mafundi.. wiki nzima sasa hamna unafuu na hali inazidi kua mbaya. Tuhurumieni jamani.. mtatuua kwa presha.. kuunganisha umeme tunalipa, luku tunalipia, bado mtutese kiasi hiki??? Hata Mungu wa mbinguni anawaona..
TUNAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU KWA UFATILIAJI ZAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya mda huu wana jamvi.Nipo hapa Masasi almost miezi 3 sasa,kitu Cha kushangaza ni huu mtindo wa umeme kukatika na kuwaka yaani imekua ni kitu Cha kawaida kabisa.Suala la umeme kukatika hata mara 10 per day ni kawaida tuu na Wala hawatoi taarifa yoyote Cha kusikitisha zaidi wenyeji hawana time ya kuhoji.Mfano Jana umeme wamekata asubuhi wamerudisha saa Saba usiku.Please Kama Kuna wahusika humu naomba wanijuze kunani Tanesco Masasi?Povu ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwananchi ktk wilaya ya karagwe, kwa ajili ya shughuli za kiuchumi nyumba yangu iliyoko Kayanga karibia na Ofisi za Tanesco wilayani, siishi huko. Watu walikwenda kwenye nyumba yangu wakaiba Meter ya umeme, mpaka. Nikalipoti kwenye ofisi za Tanesco na kulipoti Polisi kuhusu wizi huo.
Mpaka ninapo andika huu ujumbe sijawahi kurudishiwa umeme.
Swali, Je inakuwaje mita yangu inaibiwa? kwani kuna soko la hizo mita?
Swala hili hatuwezi kulijibu moja kwa moja mpaka kupata taarifa kamili kutoka ofisi ya eneo lako tafadhali tupatie namba ya mita na namba ya simu. AIDH mteja anawajibika kulinda miundombinu ya umeme iliyotumika kumpatia umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuwaelewa namna Tanesco wanavyotoza gharama za umeme. Bei ni tofauti kulingana na matumizi.

Hapa ndipo siwaelewi kabisa. Kuna sehemu nilikuwa naishi nilikuwa natumia Tsh. 20,000 kulipia umeme. Nilipoamua kuhamia sehemu kama kilomita tatu kwa sasa natumia umeme wa Tsh.11,000 tu.

Nilipodadisi jibu nililopata ni eti hapa nilipohamia tangia ameweka LUKU mwenye nyumba matumizi yake yalikuwa wadogo ndiyo maana hakubadilishiwa matumizi!

Kuna taasisi muhimu sana ambazo zinachangia pato la taifa lakini unakuta bei ya umeme ni kubwa mno eti kwa sababu matumizi ya umeme ni makubwa. Ndiyo maana unakuta bidhaa kutoka kwenye viwanda zinauzwa bei kubwa tofauti na zinazotoka nje ya nchi.

Taasisi kama hospitali ambayo inahudumia wagonjwa kwanini ilipie umeme gharama kubwa eti kwa sababu wanatumia umeme mwingi? Sera ya viwanda itafanikiwaje ikiwa mwenye kiwanda atalazimika kulipia umeme gharama kubwa?

Bidhaa ikiwa adimu bei yake inakuwa kubwa. Sasa kama ni hivyo kwanini wasiruhusu watu wakazalishe umeme wawauzie walaji?
 
Back
Top Bottom