TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Wakuu tuhurumieni wateja wenu,mnakaa Ofisini kwaajili ya kutuhudumia kwa ufanisi.Hapa mtaani mmekata umeme tangu jana jioni mpaka leo hakuna dalili za kurejesha, tafadhali...msiifanye huduma hii kama msaada!!!
Kibamba_Dsm Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari
Mi mkazi wa mshangano manispaa ya songea tatizo langu ni kuhusu kuingiziwa umeme process zote nimeshamaliza ambapo mpaka wapimaji washapima inahitajika nguzo moja.
Swali langu je Mimi nitahudumiwa lini maana naona muda unapita tu ila naona majirani wanaingiziwa umeme( wa ndani ya mita 30)
Hela ya kuingiza umeme ninayo mnanisaidiaje na Mimi nikae mwenye umemee
Tafadhari sana.
0767309201
wakunyumba@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoani Mbeya leo kivumbi, patashika na nguo kuchanika

Umeme Kona zote hamna

Tunapigwa danadana tu

Inaudhi sana tangu saa nane mchana mpka muda huu usiku sasa mji mzima na baadhi ya wilaya hamna umeme.
 
TANESCO, TANESCO MAFINGA; Nilianza mchakato wa maombi ya umeme mwezi Mei 2019 kwa Nyumba mbili zilizo maeneo tofauti, baada ya kukamilisha taratibu zote nilirejesha fomu ya maombi nikisubiri mchakato wa malipo, nilikaa miezi minne bila kupata payment control number, ndipo nikaanza kushinda ofisini kila siku kutafta fomu zangu na mwisho nikaambiwa zitakuwa zilipotea hivo nianze mchakato upya.
Mwezi October nikaanza upya tena nikafanikiwa kulipia, nikaambiwa nitapatiwa huduma ya kufungiwa mita ndani ya siku 30 za kazi, sahizi zimeshafika zaidi ya siku 40 za kazi na sijui lini huduma nitapata.
Kitendo cha sheria za nchi kuifanya TANESCO kumonopolize (kuhodhi) soko la umeme Tanzania wanakuwa hawana mshindani na kuwafanya watoe huduma kwa kusuasua sana.
Hapa naplan kwenda nunua solar pannel ili sikukuu nipate mwangaza kwenye banda langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba ya meter 54131428457
Namba ya simu 0655666677.
Ahsante mkuu. Hope solution will be available soon.
Swala hili hatuwezi kulijibu moja kwa moja mpaka kupata taarifa kamili kutoka ofisi ya eneo lako tafadhali tupatie namba ya mita na namba ya simu. AIDH mteja anawajibika kulinda miundombinu ya umeme iliyotumika kumpatia umeme

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa ninavyotoa haya malalamiko umeme umekatika tokea jana haujarudi na hiyo ni kawaida ya umeme wa huku yani unakatika masaa 12 unawaka masaa 2 au nusu saa unakatika tena wenyeji wa hapa wanasema tatizo hili lilianza mara baada ya kubadili chanzo cha umeme kutoka wa mafuta na kuanza kutumia umeme wa gesi kuna jamaa yangu yupo UTP(hawa ni km wanawasaidia TISS) anasema aliwahi kwenda ktk ofisi za tanesco kufanya uchunguzi akaniambia pale kuna tatizo sio tu suala la umeme wa gesi lkn hakunieleza kwa undani,

TANESCO Liwale tunaomba mtupe majibu yanayoeleweka kwnn umeme haueleweki huku Liwale kama tatizo ni gesi kwnn msiturudishe kwenye umeme wetu wa uhakika kwnn muingie ktk biashara msiyoiweza ya kutumia gesi ilihali mnajua kuwa hamuuwezi km tatzo ni wafanyakazi au mabosi tunaomba mkuu wa wilaya uliangalie hili kwa umakini kwani tunateseka sn wakazi tunapata hasara mno vitu vimekua vikiungua kutokana na waka zima hii.

Nawasilisha

Tunaomba namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari
Mi mkazi wa mshangano manispaa ya songea tatizo langu ni kuhusu kuingiziwa umeme process zote nimeshamaliza ambapo mpaka wapimaji washapima inahitajika nguzo moja.
Swali langu je Mimi nitahudumiwa lini maana naona muda unapita tu ila naona majirani wanaingiziwa umeme( wa ndani ya mita 30)
Hela ya kuingiza umeme ninayo mnanisaidiaje na Mimi nikae mwenye umemee
Tafadhari sana.
0767309201
wakunyumba@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka chemba DC Dodoma. Nimejaza fomu ya REA lakini kila nikienda tanesco naambiwa fomu inasubiri nguzo za mradi. Lakini wengine wageni kabisa wanawekewa. Sa sijui wenzangu wanalipia nguzo au wanatoa fedha zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nyie TANESCO mmenishangaza sana nimetoa malalamiko yng kuhusu tatizo la umeme Liwale lkn kuna wafanyakazi wenu wanatoa kauli ambazo kwa tafsiri yake ni km wanatutishia sisi wananchi yn inaonesha kwamba tusiwe tunatoa kero zetu bali tuwe tunawasifia tu kuna mfanyakazi wenu alinipigia simu anasema natoa habari za uongo kwamba Liwale hakuna tatzo la umeme wakati ukweli halisi kuna tatizo kubwa la umeme huyo jamaa namba zake ni 0782 546 024 badala ya kufanya uchunguzi yeye analazimisha kwmb umeme upo Liwale na wananchi wanasifia kwmb umeme haukatiki katiki wakati ukweli ni kwamba umeme uku Liwale haueleweki isitoshe yeye anaishi Dar hajui chochote kuhusu Liwale na kinachonishangaza zaidi anataka kutuma watu wake tukutane nyumbani kwng kana kwmb mm ndo mwenye shida ya umeme peke angu ilihali tatizo ni la Liwale nzima ss badala ya kusolve hii changamoto inageuka uhasama baina ya shirika na sisi walipa kodi tunaomba watumishi TANESCO mtusaidie cc wananchi na co kututishia kwn hz kero tunapozitoa tunazielekeza kwa shirika na co mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mteja wenu mtarajiwa. Nilijaza fomu ya kuomba kuunganishiwa umeme na Survey ilishafanyika kabisa nikaambiwa nisubiri nitapigiwa simu nikalipie. Connection yangu inahitaji nguzo moja. Cha ajabu wiki ya 2 sasa kimya. Nimewatembelea ofisinin kukumbushia, naambiwa niendelee kusubiri.

Utaratibu wenu huu unahitaji muda gani kwa mteja mpya kupata umeme mbona mnatuvunja moyo na hela haitunziki kipindi hiki kigumu jamani?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
86 Reactions
Reply
Back
Top Bottom