Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,892
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI


Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
 
Mmh huyu ndio spuka wa bunge basi bunge lisilaumiwe kwa lolote ikiwemo masuala ya tozo, kodi, wananchi kuzikubali tozo.
Spika na mshauri mkuu wa kanisa la anglican dunia kibingw jobo katika ubora wake-Yesu alitembea na mke wake sijui toka wapi kwenda kuhesabiwa!
🤣🤣🤣🤣🤣
Gwajiboy njoo ujibu mapigo kuanzia hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom