Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Njaa
Tumbo limejaa minyoo mpaka anachapia hovyo. Najua tunajua kwamba lengo lake alitaka aongee Yosefu na mke wake Maria... Ila sasa maskiniii mbona atakoma.
Kwani yesu hakuwa hata na Demu wa kuzugia kabla hajaanza utumishi,maana alianza utumishi akiwa na miaka 30+ so yawezekana alipata kaujanani

USSR
 
kama kuna mtu hakumuelewa ngugai basi huyo mtu atakua ni fala, kwenye matamshi kunakusosea lakini dhamira ya alichokielezea kinaeleweka
Kama kuna mtu anayaamini maneno ya Ndugayi kuwa Yesu alikuwa na mke basi huyo mtu ni koroboi
 
Pale ambapo ubongo unafeli kutambua kitu kitachotoka kitatafsiriwa vipi na kupokelewa vipi na wahusika, itoshe kusema kila Binadamu ana ukichaa ndiyomaana toka karne hadi karne hakuna aliyeweza kuitumia akili yake kwa 100%
Huyu mtu tayari alishasema kuwa ana faili lake Mirembe
 
Njaa
Tumbo limejaa minyoo mpaka anachapia hovyo. Najua tunajua kwamba lengo lake alitaka aongee Yosefu na mke wake Maria... Ila sasa maskiniii mbona atakoma.
Nikipindi chake cha kupewa kichapo
 
Daaah Hadi naona aibu kujitambulisha nimetokea Kongwa😢😢😢
IMG_20210830_180532.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom