Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Matusi yote hayo ni kwa Ndugai?
hizo ndio akili za wapinzani wa Serikali. Ila wako wachache sana hawana madhara. Ndugai mi nimempenda sana anautendea haki mhimili wa bunge, angefaa hata kuwa Rais wa nchi hii awashughulikie vizuri wapuuzi km kina Gwajima. Gwajima ni hatari kwa usalama wa nchi hii kwa sasa. NNa wasiwasi hata na uraia wake. Mtu anamdharau Rais wa nchi, anasema uwongo wa wazi, anamfitini Rais na watu wake, anawachonganisha wananchi na Serikali yao. Jambo la wazi ni kwamba Gwajima ni mbaguzi, ni mkabila hakumpenda Mh. Samia awe Rais. Swali kwanini vyombo vya ulinzi na usalama vinamchekea? na Chama je? Au ni kwasababu wakuu wengi wa vyombo vya ulinzi wanatoka kanda ya ziwa?
 
Alimaanisha Yusuf kuweni na akili za kuvukia hata road

USSR
Usitetee ujinga kabisa hapo, ni wazi amefanya makusudi ili kulete taharuki maana kwake kila kitu ni siasa

Unaachaje kumu address bikira Maria kwa jina unaishia kuwa ni mke wa Yusufu hii tayari sio sawa, kwa utukufu aliopewa bikira Maria kwa dini zote hata Qurani imemuandika zaidi ya mara 30 kwa jina lake mwenyewe na sio mama wa Yesu au mke wa Yusuf yeye Ndugai ni nani?


Sasa kutamuaminije kwenye hizo distance anazodai anazijua vizuri kama hapa mwanzo tu pa kuanzia kasha haribu kiasi hiki
 
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI


Duuuh
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Screenshot_20210831-163000.jpg


Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI


Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Wakisema akapimwe mkojo anakuwa jeuri
 
Wazazi tunaomba msituletee akina wanao sema km zote za kutoka Nazaret hadi Galilay wanazijua,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom