Shamba lipo fukayosi bagamoyo..lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road
shamba lina heka 15
document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote
bei ni milioni 18 tu
nauza lote sikati nusu nusu
mawasiliano 0677 818283

77068433_156510039044219_446640667087601664_n.jpg
 
The location dear
Uzuri ni plot kubwa nusu ekari and the location matters its rather not for business center but its specifically prime area.

Those residences not everyone can afford to live and occupy even a small size of land. Tycoons and mogul are better preferred over their.
 
Okay Asante kwa taarifa, yule jamaa anauza viwanja 1.5 fukayosi eti vipo 100m toka bagamoyo road dalali mwanamke yeye vipi?
 
Nyumba ipo tuangoma kigamboni - km 1.5 kutoka barabara ya lami
ina vyumba 4 viewili ni master
dining,sitting room,jiko na public toilet ipo pia kuna choo cha nje
nyumba ina eneo kubwa sana sqm 1200
bei ni milioni 210 tu
mawasiliano 0677 818283

230871387_1239972089814391_5749572942240639420_n.jpg
232055901_628776608097829_5602323736935786595_n.jpg
232180243_1003481180413706_5225909718611678400_n.jpg
232412017_889374214996986_530167015984539938_n.jpg
232973059_1270836856687544_6197472673899379571_n.jpg
233589025_847249382572545_6906983285923852738_n.jpg
233691450_535978564344524_3890876244237258269_n.jpg
234042270_554862405704088_6302102092521841281_n.jpg
234163341_149312110651318_898181906897855967_n.jpg
 
Okay Asante kwa taarifa, yule jamaa anauza viwanja 1.5 fukayosi eti vipo 100m toka bagamoyo road dalali mwanamke yeye vipi?
Nahisi, yeye anauza 1.5 ni kiwanja ambacho limeshapimwa, maana utakuwa unaptiwa na hati halisi ya Serikali. Pia, vipo karibu kabisa na barabara kuu ya lami. Huyu mdau hapa anauza mashamba, ukishanunua inabidi ulitengenezee mchoro wa matumizi, kisha uanze mchakato wa kupima ili ipate hati ya viwanja/ shamba. Hii michakato yote ina gharama.

Halafu, huko fukayosi kwenye upande a mashamba nimesikia kuna migogoro ya ardhi. Kuna watu wameuziwa maeneo ya
NARCO.
 
Shamba lipo fukayosi bagamoyo..lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road
shamba lina heka 15
document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote
bei ni milioni 18 tu
nauza lote sikati nusu nusu
mawasiliano 0677 818283

View attachment 1882296
Uza heka moja moja mkuu,,,,,tengeneza mchoro wa heka moja moja.barabara na kila kitu,,,
 
Nahisi, yeye anauza 1.5 ni kiwanja ambacho limeshapimwa, maana utakuwa unaptiwa na hati halisi ya Serikali. Pia, vipo karibu kabisa na barabara kuu ya lami. Huyu mdau hapa anauza mashamba, ukishanunua inabidi ulitengenezee mchoro wa matumizi, kisha uanze mchakato wa kupima ili ipate hati ya viwanja/ shamba. Hii michakato yote ina gharama.

Halafu, huko fukayosi kwenye upande a mashamba nimesikia kuna migogoro ya ardhi. Kuna watu wameuziwa maeneo ya
NARCO.
Asante kwa kunielewesha.
 
Hii nyumba naifaham . ni zaidi ya miaka 10 anatafutwa mteja hapatikani. wapangaji nao wakiingia hawakai hata week wanakimbia. Inasemekana nyumba ina mauzauza. Hapo ilipo hamna mtu anayelala ndani

Muwe mnawaweka watu wazi kuwaepushia watu hasara na usumbufu.

Angalizo kwa wanunuzi pia msikurupuke muwe mnaulizia na majirani pia kuhusians na status ya nyumba mnazotaka kununua au kupangisha
Itakuwa na dhuluma
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA Tabata BARACUDA MILIONI 155 TU

  • Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
  • Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana
  • Eneo ni sqm 485
  • Jiko kubwa na zuri + parking kubwa ya magari
  • Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
  • Nyumba ipo karibu sana kutoka barabarani ni mwendo wa dakika 1 tu

BEI NI MILIONI 155 TU......WAHI SASA

Mawasiliano 0677 818283

1.jpg

2.jpg

3.jpg

4.jpg

5.jpg

6.jpg

7.jpg

8.jpg
 
Umaskini tu ni shida na usalama.
Unaweza chukua mjengo huo fresh tu wale wasenge wa boxer wakakuwai njiani au getini ukamalizwa uache mil 155 huku nyuma wao wanakuibia mil 2 tu viroboto hao siwapendi kishenzi.
 
Back
Top Bottom