Lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 18 tu, nauza lote sikati nusu nusu.
15 mil, vipi, kwa heka iwe 1 mil, nije kukagua tufanye biashara. Isizidi hapo kama upo tayari.
 
Wewe unaweza kununua nyumba kama hiyo kwa 5M? Achilia mbali 10M

Acheni utani na ela
Hapo ni kiwanja kinauzwa.
Chamwino ni sehemu nzuri kwa biashara.

Ningekuwa Mimi ni muuzaji ningeeelezea ukubwa wa kiwanja, mandhari kama Kuna barabara au maduka na umiliki wake na ufikaji wa huduma kama umeme, maji na usafiri.

Halafu niongeze kuwa Kuna nyumba kwenye hichi kiwanja.

Mtu kama huyu utamuona akisema biashara ngumu kumbe ni vitu kama hivi.
 
N kweli nashkur kwa ushaur... hpo kuna kiwanja ambacho kinaeza tosha vyumba 5.....ukiachana na hicho kibanda hapo umeme na maji vpo karb hta hpo mbele yake kuna nguzo ya umeme na barabara ipo karb na gar linaeza ingia hd huko
 
Ukubwa wa kiwanja, hasa dimensions zake kama 20m x 20m au ni sqm ngapi.
Umiliki wake upoje? Hati ya kimila/ wizara au hati ya mauziano.
Kimeshapimwa?
Ukaribu wa usafiri wa umma?
Hata ukiweza, weka loacation yake in coordinates. Nenda na smart phone urekodi location. Kuna watu wapo uarabuni, mwanza, mtwara, south Africa etc... wanaweza kuiangalia hiyo location google earth au wakafuatilia wizarani hiyo location.
Jitahidi uelezee kila kitu kadri utavyoweza.
 
Back
Top Bottom