BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,042
Huu uzi kweli wa mabaharia lazima udinde tu
Triple S(Kupanda mnazi kwa mkono mmoja)Kufanya nini mkuu
Mmh! Huyu dada anatokea nchi gani?
Mmh! Huyu dada anatokea nchi gani?
Kweli mkuu rangi nyeusi inavutia asee mixture na lishepu la Kibantu dah wananoga sanainavyosemekana ni ghana. ila lauhakika ni kuwa ni muafrica. yani mimi huwezi nifitinisha na wanawake wakiafrica kabisa
Kweli mkuu rangi nyeusi inavutia asee mixture na lishepu la Kibantu dah wananoga sana
Hapo kuisaka mpaka utumie tochiTwende south View attachment 1501346
Hii naija kakaHii pisi sijui uko mkoa gani?View attachment 1499672
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app