Naam
20211205_134130.jpg
 
Binadamu hawezi kuishi bila Maji lakini dhahabu ina thamani kubwa kuliko Maji ingawa Bainadamu anaweza kuishi bila Dhahabu! Kilichoyaponza Maji ni kupatikana kwake kiurahisi mara baharini, Mtoni, Ziwani,Bwawani n.k Hivyo Jitahidi saana Kutambua Thamani yako Usipende kujirahisisha, kunyenyekea watu wasiouona umuhimu wako.. Kuwa na Msimamo, Jipende mwenyewe kwanza kabla hujaanza kumpenda Binadamu mwenzio!
 
Angalia na tafsiri hii hapa
" Ukiona unaendelea kuishi ujue kuna watu wamepoteza uhai kwaajili ya maisha yako. Mfano halisi Kunawazee wetu wamepoteza maisha kwaajili ya kulifanya Taifa hili liwe huru. Mfano halisi wa pili, leo hii kuna manesi na madaktari wanakufa kwaajili ya kupambania maisha yetu.
Ni sawa lakini kuna uongo umeongea hapa ndugu. Yaani nikiona naendelea kuishi nijue kuna watu wamepoteza uhai wao ili mimi niishi? Hapa umepoyonga mzee
 
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English.

Karibu

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++

If we don't change, we don't grow

If we don't grow, we aren't really living

The only human institution which rejects progress is the cemetery

The world hates change, yet it is the only thing that has brought progress

Change is inevitable - except from a vending machine

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++


PIA SOMA:





-------------

















































" There's no patch for human stupidity" ~
 
Back
Top Bottom