de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,958
- 25,549
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities?
Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm..
Yaani kubadilisha mtazamo wa jinsi unavyo iona dunia...
Si rahisi kama unavyo dhani maana subconscious part inachukua almost 95% ya action, choices and behavior.. Na conscious part inachukua only 5%
Sasa basi ili kuyafikia malengo sio kama muujiza utatoka, it needs being patient, constant affirming to yourself, constant taking simple steps.. And most of all living as if you already achieved your dreams.
Wamatumbi tuachananeni na drama kuna madogo kariakoo wanatembeza pipi na Jojo, kuna walemavu wa naomba omba asubuhi mpaka jioni kakaa sehemu moja, kuna mama mmoja nilimwona anatambaa ana kitoto kidogo kimemshika gani lake kinamfuata..
And I thought to myself, huyo mtoto akikua atakuwa na trauma kiasi gani?
And we are just here being complacent na maisha...! Ndugu zangu hakuna mtu anaye kujali, even your parents don't give a damn about you, ukishaota mavuzi wanakaa kuomba utasepa lini, so acha kujidanganya kuna mtu ana kujali na anafurahi wewe kuwa average,
Wake your ass up and get to work on your dreams, kama umeoa mke wako atakuheshimu kama una millions on your bank account. Hata waza kuchepuka maana atapata kuchefu chefu kupelwkewa moto na losers.
Hata kama utaachwa wa ku replace atakuwa one dollar away.. Tafuta maisha Buda, life is unfair.. Life is short to not enjoy it fully..
Usiku mwema.