Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
sasa hata idadi ya kura mbona haitajwi?
Ndio ujue magamba wana maanisha nini wanaposema wameshinda!
sasa hata idadi ya kura mbona haitajwi?
Ukisikia mtu wa CCM kaibuka kidedea ujue amemzidi mwenzake kwa rushwa na mizengwe tu.Huko hakuna kidedea wa siasa za kistaarabu wala hoja.
Ukisikia mtu wa CCM kaibuka kidedea ujue amemzidi mwenzake kwa rushwa na mizengwe tu.Huko hakuna kidedea wa siasa za kistaarabu wala hoja.
inamaana ukilewa ni marufuku kuuliza ?Kama umeshalewa viroba wewe ni bora ukalale tu. sitegemei mtu mwenyeji hapa JF aulize Pasco anaingiaje hapo, ila subiri tu akija ndio utajuwa anaingiaje.
inamaana ukilewa ni marufuku kuuliza ?
Uchaguzi umemalizika matokeo yametoka!, ubatili umeshinda!. Sasa tuendelee na mengine huku tukisubiria yatokanayo!.Wanabodi,
Kipenga cha kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UWT kimepulizwa na wa kwanza kukimbilia fomu ni Mwenyekiti wa sasa Mhe. Sofia Simba akijiaminisha atapata kwa mteremko wa kupita bila kupingwa maana CCM inatawaliwa na nidhamu ya woga kwa jina la "utii". Lakini hali haikuwa hivyo kwani Mhe. Mama Anne Kilango Malecela ametia timu kumpinga Mama Simba ambae "she is good for nothing"!. Mama Kilango ni just an opportunist mpiga kelele kila anapoongea as if ana uchungu wa kweli na anachopigia kelele!.
Ila kumlinganisha na mama Simba, Kilango ni mpiganaji wa kweli kwani baada ya kubebwa pale mwanzoni, sasa amejibeba na kubebeka zaidi wakati Simba yeye ni kubebwa tuu mwanzo mwisho!.
Leo kuna binti kijana, msomi wa haja ambaye yuko very bright upstairs kwa jina la Bi. Mayrose Kavura Majinge, naye atatupa karata yake!. Huyu ni "very promising" kuibadili UWT toka hapo ilipo na kuipaisha to the next level!.
Sasa subirini tushuhudie sarakasi za kama CCM inaendelea kuchagua "good for nothing" na kuisindikiza rasmi kaburini, au wana CCM wata opt for "oportunistic" ili kuendeleza ulaji na kupeana au this time watachagua "promising leadership" kujaribu kuiokoa CCM ambayo imeshaonyesha dalili zote za mkao wa kifo?!.
Kwa vile sio siri, its open secret kuwa members wengi wa jf ni washabiki wa CDM, wakiwa na matumaini kuwa 2015 its their time, wajue kuwa wapiga kura wengi zaidi Tanzania ni wanawake, I doubt kama BAWACHA does realy exist!, hivyo majaaliwa ya Chadema kushinda uchaguzi wa 2015, itategemea kura za wanawake hivyo ni nani anashinda uchaguzi wa UWT!. Akirudi Mama Simba au Mama Kilango, ushindi wa Chadema ni dhahiri, ila akishinda Mayrose Kavura!, amini msiamini, ikulu mtaishia kuisikia tuu!.
Mark my words!.
Pasco!.
NB. Kwa vile mimi namshabikia EL ateuliwe CCM, na kwa CDM naisupport move ya ZZK, bado nasisitiza sina chama!. Ila wale mnao amini mimi ni gamba, endeleeni kuamini hivyo kwa sababu kuwa mwana CCM sio dhambi wala kuishabikia CCM sio kosa!.
You mean hawana pesa!
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika mhe Anna Kilango aliyepigiwa chapuo na mhe Banji akambulia kuchambwa hajui siasa za chini, ambazo mhe Sophia hakuzifafanua na juzijuzi wamempa nafasi awawakilishe ubunge wa Africa mashariki baada ya kuulizwa ana mikakati gani ccm ishinde 2015 wakati mpaka sasa amekuwa kiongoz wa umoja huo hamna alilofanya.
Licha ya majibu mepesi na kejeli na vituko ambapo alishuka meza kuu banji akaokolewa na watu wa usalama.
Habari za uhakika zinasubiri kutangazwa mhe Anna Kilango na Wapambe wake wakiwakilishwa na Mhe. Banji wameangukia pua wameshindwa. Ndivyo ilivyokuwa kwa mtoto au Mwanafamilia Willium Malechela "Lemutuz"
Wanabodi walimpa ushauri ndio uzuri wa jamii ukishinda hawakosi cha kusema na pia ukishindwa hawakubani mawazo.
Naomba mods msiiunganishe yamemfika na Mama wanajamvi tusiwanyime maoni, ushauri mawazo kwa huu upepo huu kwa familia ya Malechela na hata zecomed iliyoonyeshwa na Wagombea na Wapiga kura katika uchaguzi wa jumuiya hii ya Wanawake CCM.
You noted the knot. Be my guest!!Nilifikiri CCM is dying?
na kwambayeyote ndani ya CCM hawezi kuwa tishio?
sasa mbona watu wako busy na Mwenyekiti wa UWT na sio BAWACHA?
au hii ni ishara ya CCM kuwa ni very strong?
Nazungumza na jamaa yangu ndani ya uchaguzi wa UWT kwa kura zilizokwisha hesabiwa mama Sophia Simba anaelekea kuchukua ushindi, habari hii ni ya uhakika toka kwenye chumba cha kuhesabia kura, Anne Kilango anaponzwa na undumila kuwili wake mara anapinga ufisadi mara anametetea Ngereja , haeleweki, akina mama wamempa fundisho.