Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Nazungumza na jamaa yangu ndani ya uchaguzi wa UWT kwa kura zilizokwisha hesabiwa mama Sophia Simba anaelekea kuchukua ushindi, habari hii ni ya uhakika toka kwenye chumba cha kuhesabia kura, Anne Kilango anaponzwa na undumila kuwili wake mara anapinga ufisadi mara anametetea Ngereja , haeleweki, akina mama wamempa fundisho.
 
wapi Anna Kilango Malecela??. imekula kwako mama??. Huna uwezo wa kushindana na Lowassa. njoo CHADEMA tukomboe nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi CCM. mia
 
hatukawii mara Utasikia Kilango mara oh rushwa, sijui taratibu zilikiukwa nk...yaleyale ya Sumaye aka Kusila
 
Wote hawafai basi tu wamekosa busara hiyo kamati kuu wanabebana na kulipana fadhila!
 
Anna kilango ni funza, hafai kabisa kuongoza! Japo naye sofia ni janga la taifa.
 
the malecelas no more ushindi,na ubunge ndo muhula wa mwisho

umeona eeh!!?. nashangaa 2010 Alikua akitembea na cd eti amenasa maneno wakimuundia zengwe la kumuangusha kwenye anayo ita jimbo lake. wakamdharau. akajipendekeza kwa kikwete akimchongea wiliam kwamba akienda kwake anapewa chai badala ya umeme, cha ajabu ccm aliunda baraza hajampa hata unaibu waziri. sijajua matatizo ya huyu mama. ngoja aipate na sitaki kuskia akisema rushwa. mia
 
  • Thanks
Reactions: HRM
jamani namie viti maalumu mwaka 2015 kupitia CHADEMA! Msinisahau nipeni kura zenu..
 
Asante Mungu, Pasco uwt tumeshamaliza kazi njia ya mtukufu Lowasa ni nyeupe sasa. Wapi Le Mutuz? Je Mzee Malecela ataendelea yeye mwanae kusema CCM itaendelea kutawala miaka 50 ijayo?
 
Last edited by a moderator:
Asante Mungu, Pasco uwt tumeshamaliza kazi njia ya mtukufu Lowasa ni nyeupe sasa. Wapi Le Mutuz? Je Mzee Malecela ataendelea yeye mwanae kusema CCM itaendelea kutawala miaka 50 ijayo?

Sijaelewa Pasco anaingiaje hapa mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
hongera sofia

wewe huna unafiki kama KILANGO.WOTE TU WACHAFU PAMOJA NA KILANGO SASA ANAJIFANYA YEYE YU MSAFI

SOFIA....USISAHAU AHADI YA UBUNGE VITI MAALUM NI MIAKA KUMI TUU WAONDOLEWE VING'ANG'ANIZI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom