Nicky Mkinga
Member
- Apr 6, 2012
- 54
- 18
Hao ndo CCM anayefaa kuwa kiongozi huwa hachaguliwa bali huchagua yule asiyefaa...a.k.a aliyetoa rushwa kubwa kuliko mwenzakemaana wote hutoa ila huzidiana kiasi
Sitta amekata tamaa.
...
kweli mkuu hapo walizidiana dau na uana mtandao!Ukisikia mtu wa CCM kaibuka kidedea ujue amemzidi mwenzake kwa rushwa na mizengwe tu.Huko hakuna kidedea wa siasa za kistaarabu wala hoja.
tatizo wanalalamika rushwa na taratibu mbovu katika uchaguzi ambao wanashiriki kwa hiari yao.......kwa nini wasijitoe kama taratibu mbovu?
mkuu, tatizo hawa ni wanasiasa wachumia tumbo, hawawezi kujitoa.
......may be white hair maana zina link up na white house... you know what I mean.... hongera zake lakini mama Simba hana lolote...CCM kwisha
hahahahaaaaa...duh, we upo juu mkuu
Au kwanin wasiripoti hayo matukio ya rushwa wakati uchaguzi ukiendelea?? Why after fail ndo waje na mzigo wa lawama?
Does BAWACHA still exist?!, tangu alipojiuzule yule M/Kiti ile 2010 (baada ya kutomteua mbunge wa kuteuliwa na badala yake watu wakateua watoto wao, dada zao, wake zao, wakwe zao, hadi vimada wao!,) nani ni M/Kiti sasa?.
Magufuli ni kiboko, japo muda umepita sasa ndio ameuondoa huu ubatili na kilichofanyika Dodoma jana, ndio hayo yatokanayo yaliyozungumzwa humu.Huu ndio ulikuwa msimamo wangu kuhusu Uchaguzi wa UWT kwenye uzi wangu huu Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!
Uchaguzi umemalizika matokeo yametoka!, ubatili umeshinda!. Sasa tuendelee na mengine huku tukisubiria yatokanayo!.
Mkuu, huwa una insider wa kuku-feed habari???Magufuli ni kiboko, japo muda umepita sasa ndio ameuondoa huu ubatili na kilichofanyika Dodoma jana, ndio hayo yatokanayo yaliyozungumzwa humu.
Paskali
Hii habari imeoza,ya mwaka 2012,inafuata nini hapa ?Nazungumza na jamaa yangu ndani ya uchaguzi wa UWT kwa kura zilizokwisha hesabiwa mama Sophia Simba anaelekea kuchukua ushindi, habari hii ni ya uhakika toka kwenye chumba cha kuhesabia kura, Anne Kilango anaponzwa na undumila kuwili wake mara anapinga ufisadi mara anametetea Ngereja , haeleweki, akina mama wamempa fundisho.
.....Kilango Anne Kama William Malecela
......Kwani Sophia Simba ni kambi ya Lowassa au Membe?
....hao wote ni wafu acha wazikane