Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

Sofia Simba na ushangingi wake sijui wanampendea nini wenzake!!?
Si shangingi bali ni mkweli daima
yeye anakubali ccm wote tu wachafu na tusinyosheane vidole

viva sofia.....AHADI YA UBUNGE VITI MAALUM CCM KUWA MWISHO MIAKA KUMI ITEKELEZWA
 
Lowassa anasimika wapiga kura vikao vya CCM.
Vasco anatalii.
Sitta amekata tamaa.
Membe kwishnei.
Nape hajui asemalo.
Hakyanani Lowassa akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti CCM atamgaragaza vasco vibaya...
Magamba bana...
 
wapi Anna kilango malecela??. imekula kwako mama??. Huna uwezo wa kushindana na lowassa. njoo chadema tukomboe nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi ccm. mia

Kama chadema inatafuta watu kama hawa basi hakuna chama makini hapo.
 
Mzee kagaragazwa, mtoto kagaragazwa, mama kagaragazwa. Wakafuge ng'ombe ndio jadi yao waachane na siasa, hawana mvuto.
 
wapi Anna kilango malecela??. imekula kwako mama??. Huna uwezo wa kushindana na lowassa. njoo chadema tukomboe nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi ccm. mia
Mkuu chadema sio jamvi la wageni.
Huyo mama abaki hukohuko.
Ila hii famalia ya malecela ina mkosi, kuanzia Le Kibonge mpaka mama ake wote hawapendwi na wanachama wenzao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mzee karagazwa, mtoto karagazwa, mama karagazwa. Wakafuge ng'ombe ndio jadi yao waachane na siasa, hawana mvuto.
Hapa tuko pamoja, sasa Le Mutuz atafute gia nyingine ya kutongozea badala ya kuwadanganya kwamba atawaombea kwa Mama yake nafasi ya viti maalum.
 
Kilango ni mkali wa fitna (ushirikina) kamuulizeni Dr Kadeghe.Au na sofie nae yupo fiti?kila mkali ana mkali wake
 
Nasikia alipata kusema "hakuna mwanamume kama Lowassa", sina uhakika kama ni kweli.

Ni kwa sababu alishakamuliwa na mmasai, yule hana mume hivyo mkubwa yoyote akijipendekeza kwake anapewa mzigo fresh. Hata sultani alikuwa anakamua huyo mama.
 
Ukisikia mtu wa CCM kaibuka kidedea ujue amemzidi mwenzake kwa rushwa na mizengwe tu.Huko hakuna kidedea wa siasa za kistaarabu wala hoja.

Umeandika ukweli Jemedari,ila suala la kushukuru Mungu ni kuwa ndio wanaweka mazingira mazuri kwa wapiganaji kuikomboa nchi yao .

Hawa wanaoshinda CCM hawajui kuwa walishakataliwa na wananchi sasa kwa upofu na uvivu wa kufikiri wanadhani wakichukua nafasi za juu CCM wakija kwa wananchi tutasahau udhafu na ufisadi waliotufanyia.
 
Kambi ya Lowassa bana... inaubwaga muungano wa kambi za Vasco/Riz1 na Membe kila sehem...
 
Kama umeshalewa viroba wewe ni bora ukalale tu. sitegemei mtu mwenyeji hapa JF aulize Pasco anaingiaje hapo, ila subiri tu akija ndio utajuwa anaingiaje.
Usifikiri kila mtu ni mlevi mwenzio, Mataputapu yanakuharibu.

Unatoa ahsante kwa Pasco ambae hajapost wala ku-comment chochote kwenye hii thread, umechanganyikiwa??

Ungemsubiri aje kwanza ndio utoe ahsante.
 
Usifikiri kila mtu ni mlevi mwenzio, Mataputapu yanakuharibu.

Unatoa ahsante kwa Pasco ambae hajapost wala ku-comment chochote kwenye hii thread, umechanganyikiwa??

Ungemsubiri aje kwanza ndio utoe ahsante.
Akili yako ndogo siwezi kupoteza muda wangu na kutumia akili kubwa kwa watindiga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom