Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

- Kama mzazi wako ni changudoa ...unafikiri ninatishika na huo usilamu wako hapa...
- Sophia simba ni mpumbavu...ninasema hivi Sophia ni changudoa! tabia za kwenda kuzaa na waume wa marafiki zako kwa siri ni nini maana yake?

-- I understand kwamba na hivi vitisho vyako unaujua uchafu wa binafsi wa Mama Kilango, sasa uweke hapa unajua watuwazima hatutishiani nyau na mimi ninaendelea na wa Sophia, pole pole kwa nafasi yangu!

Respect.
FMEs!

Mkuu nashukuru kwa kunionyesha na kuionyesha JF jinsi ulivyolelewa na kukuzwa...hayo yote uliyoandika juu hapo,yanaonyesha aina ya MALEZI ULIYOPATA NA WALIYOPATA WAZEE WAKO, si tu,umejiaibisha na kupoteza heshima yako kwa waliokuwa wakikuheshimu,bali pia umewatia aibu na kuwavua nguo wazee wako ndani ya JF kwa kuufunua utovu wao wa malezi kwako, mtoto aliyelelewa kiungwana,nikiamni kuwa watanzania ndivyo wanavyowalewa watoto wao,hawezi kumtukana mzazi wa mwenzie matusi ya nguoni...kwani utupu wa mzee wa mwenzako ni kama wa mzee wako...na wazee wanapogombana na kukashifiana mtoto hawezi kuingilia ugomvi huo unless nayeye awe amekuzwa kiutovu wa adabu.

- Nothing but nonsense, ulifikiri unaweza kutukana watu hapa ukaachiwa? Malezi yangu na yako have nothing to do na JF, hizi lectures labda upeleke huko kwenu na familia yako, ya kujiabisha unayajua sana kama siku ile Kikwete alivyokuchafua vipi yale yalikuwa malezi bora on your part mbona Rais wa nchi alikuabisha mbele ya wananchi wewe mtu uliyelelewa na malezi bora? Bwa! ha! ha!

- Acha hizi mkuu unasema wewe umelelewa na malezi bora kwa sababu unalilia kumtetea waziri asiye na heshima na waume wa marafiki zake? Bwa! ha! Sophia alikudanganya ndugu yangu yule ni mkatoliki sio Muisilamu kama unavyoamini.



Mkuu, nakuhakikishia kuwa,tena wala sina wasiwasi...nayajuwa machafu ya Kilango,na sitakosa kitu kuyasema hapa...ila kwa kuwa sikupata malezi ya kiutovu wa adabu kama yako..nitanyamaza na kuwa mjinga...nitunze na kuheshimu uungwana wangu na waungwana wenzangu. Namheshimu Kilango kama ninavyomheshimu mama yangu mzazi,hata kama nayajuwa machafu yake sitamsuta kidole,whatsover...kwa kuwa najuwa hata mimi si mkamilifu, namheshimu Mzee Malecela....hata kama sasa tunatofautina kiitikadi bado namheshimu,na nauzuwia mdomo wangu kumtusi yy na mkewe ili nilinde heshima yangu na wazee wangu, kumtusi yy ni kama kuwatusi wazee wangu.MKUU MM SIKULELEWA HIVYO...I want my parents to be proud the way they brought me up,
I do not comment on religious matters...
Haya ww endelea kunitukana...mimi mbuzi, mzazi wangu changudoa...jengine?

- Matusi umeanza mwenyewe, sasa umegeuka kuwa na malezi bora Bwa! ha! ha! acha wewe hizi, waziri wa Takukuru anatakiwa kuwa mfano bora kwa taifa na wananchi, sasa kama yeye mwenyewe hana maadili binafsi anaweza hata kuiba waume wa wenziwe na hata kuzaa nao, unasema huyu anaweza kutufaa kuwa kiongozi wa taifa tena wa Takukuru?

- Lets cut the chase, kama kwa kuwa na haya mawazo ninakuwa sina malezi bora so be it and I love it, JF ninasimamia masilahi ya taifa na wananchi tena ni kazi ninayojitolea silipwi na mtu, ishu yoyote hapa nina-approach kwa kutafuta what is in it of masilahi ya taifa na wananchi wake, sina tabia za chuki na wivu wa kijinga na viongozi wala members humu ndani, ninasimamia ukweli sijawahi kukwepesha ukweli kumtetea anybody, kama kuna ushahidi kuwa wapiganaji ni mafisadi sina tatizo kukubali, lakini sio maneno ya mtaani kuyageuza ishus za taifa kwenye hilo utanisamehe!

- Again Sophia amesema mengi sana, sasa what is in it kwa taifa ndio muhimu kwangu, kwanza Sohpia anatakiwa ku-establish kwamba Jeetu ni legally proven fisadi, ambapo Sophia anatakiwa kueleza kwa nini hajamfikisha kwenye sheria, pili Sophia anatakiwa kutuelimisha wananchi sheria inasema nini kuhusu miachango ya harusi kwa viongozi, na pia sheria inasema nini kuhusu michango ya kampeni za urais, ndio ninaweza kuwahukumu Malecela na Mkewe na Jeeetu pia, otherwise Sophia anakuwa kichaaa kama alivyoelezwa na Malecela, na hii sasa inakuwa mbaya by the fact kwamba Sophia ni waziri wa ofisi ya rais, hii ya ukichaa inamuweka wapi Rais ambaye ni bosi wa kichaa Sophia?

Respect.


Field Marshall Es!
 


- Again Sophia amesema mengi sana, sasa what is in it kwa taifa ndio muhimu kwangu, kwanza Sohpia anatakiwa ku-establish kwamba Jeetu ni legally proven fisadi, ambapo Sophia anatakiwa kueleza kwa nini hajamfikisha kwenye sheria, pili Sophia anatakiwa kutuelimisha wananchi sheria inasema nini kuhusu miachango ya harusi kwa viongozi, na pia sheria inasema nini kuhusu michango ya kampeni za urais, ndio ninaweza kuwahukumu Malecela na Mkewe na Jeeetu pia, otherwise Sophia anakuwa kichaaa kama alivyoelezwa na Malecela, na hii sasa inakuwa mbaya by the fact kwamba Sophia ni waziri wa ofisi ya rais, hii ya ukichaa inamuweka wapi Rais ambaye ni bosi wa kichaa Sophia?

Respect.

Field Marshall Es!


Mkuu naona unatumia ROCKET kumuua nzi.

Kwa yeyote ambaye hajaona kuwa Waziri Sophia kachemsha (binadamu tunakosea lakini hii kali) basi ni mshabiki. Kwahiyo achana naye.
 
duh tutasikia mengi mwaka huu.Kumbe Tingatinga lilidhaminiwa na JITU tAPELI.
Ndiyo mana Mkapa alipiga chini cc,bwahahahahaa!
 
I doubt! The kind of audacity and confidence this mama is displaying clearly shows that there is a heavy backing behind her. Haiwezekani akamtukana Malecela kirahisi, kuna kitu kizito zaidi ya tunachokiona.

- Sophia anajaribu kulipa fadhila ya Lowassa na Rostam, waliyompa Shillingi Billioni 2 kumshinda Mama Kahama UWT, na wote wawili sasa hivi wanamlazimisha kuomba radhi, lakini the condition iko very clear ameambiwa toka jana, kwamba akaombee either kwenye ile ile kamati au to the public sio kwenye private, I mean Rais atatokea wapi na this shame?

- Kwamba CCM yote imejaa mafisadi then hili taifa lingekuwa halipo, kama sio Rutabanzibwa kule Richimonduli wangechukua kila kitu, kama sio Maghufuli kusingekua na bara bara mpya tena, kama sio wapiganaji kina Lowassa, Karamagi, Meghji, Msabaha, Mgonja, Rostam, Mkapa mpaka leo wangekua bado wanatuibia, ninaikataa kabisa hiyo kauli ya Sophia kuwa ni maneno ya mfa maji.

- Kwa wale tulio upinzani yes this sounds good, lakini ukweli ni kwamba there is nothing good in it kwa taifa wala wanachi kwa sababu tunalilia wapiganaji watoke basi, wakitoka wamekwisha they will never win anything unless nguvu za Rais wetu zimepunguzwa kikatiba, na wakishindwa taifa zima tumeshindwa kwa sababu sasa we are talking about CCM under Lowassa na Rostam,

Otherwise, hizi za Sophia zinaendelea kuwa good for nothing yaani kuchafuana majina na kutetea mafisadi, lakini as far as masilahi ya taifa are concerned sioni kitu!

Respect
.

FMEs!
 
Kuna watu mnaboa humu, Solomon David, kila post zako lazima uandike kuhusu Zito?

wewe, mwafrika, masanilo n.k msipoandika kuhusu Zitto mnawashwa? mbona mnajiweka low hivyo , mnahisi inferior? kwa Zitto.

mara Zito, mara Omarlyas, hatuna rekodi wala serikali ya Tanzania hairuhusu ndoa za mashoga! wamewakataa?

ndio nimesema, mnaboa,

jadilini Idea vijana kumsemasema huyu jamaa mnajiweka chini sana

duh

JF imeharibika siku hizi

sio mimi tu, kuna watu wanaboreka na post zenu za hatred

Hizi ni pombe sasa! hakuna anayeweza kuandika unavyotaka wewe! Unatuharibia JF, jadili hoja kama huna soma za wengine Idiot
 
Hizi ni pombe sasa! hakuna anayeweza kuandika unavyotaka wewe! Unatuharibia JF, jadili hoja kama huna soma za wengine Idiot

- Mkulu Masa, usibishane na kichaa maana wenye akili watashindwa kujua nani ni nani, halafu unajua jamaa ana malezi bora sana Bwa! ha! ha! inachekesha kweli!, achana naye huyu niachie mimi size yangu!

Respect.


FMEs!
 
Kuna wakati ukitaka kupambana na mbilikimo inakubidi ujishushe kwenye kimo chake. kama mtu anpenda kuongea na wewe lakini hana issue, inabidi na wewe ujifunze kidogo kuwa mjinga.

Tuna mbilikimo wengi na ndio maana hata mafisadi wanaendelea kuwa na support.
 
Kwako Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Bwana Jakaya Mirisho Khalfan Kikwete,

Je una jibu hapa? Je utachukua hatua gani? Ulimtumia Sophia kufanya "Check" sasa Malecela na Mengi wote wamekujibu kwa kukupiga "Check" je una lipi la kuja?

Au hii itakuwa "Check mate"?

Hapa kwa hali ya kawaida lazima raisi aonyeshe mamlaka yake

Sophia ni Kichaa na Mpumbavu, My take aliyempatia madaraka makubwa hayo yeye ni zaidi ya Mpumbavu na kichaa.....Pse JK do us a favor!
 
Huyu aliyeanzisha hii thread inaelekea ni pandikizi la mafisadi. Fuatilieni threads alizoanzisha na nyingi zina mueleko huo.
 
Mhe. Kikwete akikaa kimya katika hili basi kuna kasoro kubwa katika serikali yake. So far hakuna baya as he tried kuweka sawa mfumo wa sheria.

Shem

WAKATI MWINGINE UNAPOINT SANA hasa ukiacha UCCM wako!
 
Hapa kwa hali ya kawaida lazima raisi aonyeshe mamlaka yake

Sophia ni Kichaa na Mpumbavu, My take aliyempatia madaraka makubwa hayo yeye ni zaidi ya Mpumbavu na kichaa.....Pse JK do us a favor!

Hats off mkuu Masa!
 
biashara ya madawa ya kulevya mitaa ya kinondoni ilishamiri sana......!
vita kati ya wafanyabiashara hugeukia kwenye lingo(ulingo) tofauti badala ya ule ulingo halisi...... wengine hushambuliana MPIRANI......MZIKI.......N.K....!
.......du.......hebu tuunganishe nukta.....(lets connect the dots)
 
Looo,

Ngoma tamu sana hii. Kumbe kuna akina mama wanazaa zaa ovyo na mawaziri?

Yaani wao ukisikia wamepata vyeo unaona ni wachapa kazi ila ukweli ni kuwa Vigogo wanawataka wawe nao karibu karibu ili wajadili maswala ya nchi hadi usiku wa manane na ikibidi kusafiri nje basi wanalikwaa pipa na wanaondoka huku wakisindikizwa na wapenzi wao wa kweli kwenda kufanya uchafu huo.

Kama hii ni kweli basi Tanzania ni mwisho wa matatizo.

Mama Simba, mwaga zaidi mama. Tunakusubiri muokozi wa Taifa hili. Nina imani 'ukiongeza mashambuli' basi tutasikia mengi sana yaliyofichwa chini ya zulia. Nafahamu mengine ya kweli na mengine uongo na mengine kuongezwa chumvi. Ila ndiyo raha yake.

SWALI KWA FMes: Kuna wimbo Lucky Dube unaitwa Rasta Man's prayer na maneno haya hapa chini.....
There comes a time. In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.We are coming to you father. With our sins and everything
To thank you

Those that smoke marijuana. Wanna thank you father ...........
Chorus
We wanna thank you father
For everything you've given us

Politicians thank you father. For making them to be able
To lie with a straight face. While the nation cries. They wanna thank you lord

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=hRlaj1-u22Q&feature=related[/ame]

Sasa ukiangalia hayo maneno kwenye NYEKUNDU, unafikiri hawa wana SIASA wanajali? Unafikiri wana siasa wanaona haya? Hata ukimsasambua huyu mama na umuwache wazi kama Dr. wa Upasuaji, je anajalina kuona haya? Usije kuwa watwanga maji kwenye kinu.
 
Hizi ni pombe sasa! hakuna anayeweza kuandika unavyotaka wewe! Unatuharibia JF, jadili hoja kama huna soma za wengine Idiot


kabisa mpwa

mwabie akatafute threads atakazochat na bibi zake akitaka a wanaandika anavyotaka....demn2'm
 
In one sentence " Mengi as a successful businessman, is buying the social licence", hii ni kawaida ya company zote kubwa! au kosa ni kwa vile mswahili?
 
, je anajalina kuona haya? Usije kuwa watwanga maji kwenye kinu.


- Wasaalam Mkuu wangu, eti anajali? yes kwa sababu kabla hajaenda kwenye hiki kikao alimuambia mtu kwamba anakwenda kumlipua Anne, "..unajua anne anajidai sana, ngoja sasa ninakwenda kumlipua...", sasa this is kind of the minister of state in the president office tulionao, hivi kweli Tanzania hatuna better leaders zaidi ya hawa kina Auntie Sophia?

- Aliporudi tena kutoka kwenye kamati akasema nimemlipua tayari, alipoulizwa mbona umemtukana Malecela, akasema "...no sikufanya hivyo mimi nimemlipua Anne tu, siwezi kumchafua Mzee Malecela kwa sababu bila yeye nisingefika hapa nilipo, hotuba yangu ya kwanza bungeni aliyeniandikia ni yeye maana sikujua hata cha kusema...", now huyu ni Waziri wa Usalama wa Taifa, ikiwa ni pamoja na Takukuru.

- Ukweli ni kwamba wiki tatu zilizopita, Rais aliongoza fundraising ya Mheshimiwa Kilango, pale New Africa Hotel ambapo aliweza kuchangisha Shillingi Millioni 400 kwa ajili ya kiwanda kipya peke nchini cha kusindika Tangawizi ambacho mbunge huyo amepania kuona kinaanza kazi by next year, majengo yapo tayari machine zipo pia, kilichobaki ni kuileta mitambo na kuipachika ndani ya jengo as kiwanda.

- Ndani ya hii fundraising Rais alisema wazi katika hotuba yake kwamba "....Tanzania huwa tuna wanaume wa shoka, lakini huyu Mama Kilango ni Mwanamke wa shoka wa Tanzania.....", katika maneno ya Auntie Sophia mbele ya kikao cha Rais Mwinyi, akarudia maneno yale yale akisema hivi "....Tanzania nzima toka tupate uhuru, hajawahi kutokea kiongozi shujaa na shupavu na Mwanaume wa Shoka kama Lowassa ambaye ameifanyia taifa mengi makubwa kuliko wote wengine!...."

- Akaendelea kwamba "......Lowassa, Rostam, Karamagi, na Chenge ni viongozi safi, kwanza wameshakuwa cleared na ufisadi na kwamba Chenge ameshakuwa cleared na Waingereza kwamba hana makosa....", now this is very interesting, kwa sababu Sophia anapoongea inaongea Ikulu na Rais mwenyewe, sasa Rais yuko wapi hapa au wasemaji wake ni kweli hawa mafisadi wameshasafishwa? Wamesafishwa na nani na ni lini?

- Unajua looking at this ishu kwa haraka haraka it sounds like foollishness, lakini in it kuna mengi sana ambayo yanaweza kufuatiliwa kutusaidia sana taifa, kwa mfano hawa mafisadi ni kweli wamesafishwa na ofisi ya Rais, au Rais mwenyewe? Chenge ni kweli amesafishwa na UK au Auntie Sophia anatuchezea wananchi?

- Halafu kwa nini anasema kwamba Lowassa ni Mwanaume wa shoka akirudia maneno ya Rais on Mama Kilango? Hivi huko nyuma ya the scene kuna nini jamani? wakuu tutafakari sana kinachoendelea kwa sababu binafsi nina wasi wasi kuna kitu kikubwa sana huko nyuma na sijui kama ni kuhusu u-
Rais wa 2010 ninakataa kwenda hiyo njia, au mnasemaje wakuu?

Ahsanteni.

William
 
- Halafu kwa nini anasema kwamba Lowassa ni Mwanaume wa shoka akirudia maneno ya Rais on Mama Kilango? Hivi huko nyuma ya the scene kuna nini jamani? wakuu tutafakari sana kinachoendelea kwa sababu binafsi nina wasi wasi kuna kitu kikubwa sana huko nyuma na sijui kama ni kuhusu u-
Rais wa 2010 ninakataa kwenda hiyo njia, au mnasemaje wakuu?

William

Billy,

Kuna member mmoja kaandika kuwa huyu mama ni Changudoa.

Sasa kama anamsifia Lowassa kuwa ni Mwanaume wa Shoka, inawezekana kashashuhudia USHOKA wake. Aisifiyae Mvua, imemnyeshea ati!!

All in all, Mama Sophia kafungua ukurasa mpya. Ni kipofu tu hataona jinsi Tanzania ilivyoishiwa ki-uongozi.
 
Back
Top Bottom