Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Katika hilo, Selelii alisema, "Sophia Simba huyu ni mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT). Pia ni waziri anayesimamia utawara bora," chanzo cha habari ndani ya kamati kinanukuu Selelii. Anasema,

"aliyoyasema hapa hayakustahili kutolewa katika kikao hiki. Haya ni maneno yanayopaswa kutolewa kwenye kitchen party. Nimemsikiliza kwa makini, mheshimiwa Simba amezungumza mambo binafsi yanayohusu mtu binafsi," alisema.


Mbili, Selii alisema,

"Sophia Simba amesema hapa kuwa Lowassa ni mwanamme namba moja. Ni mwanamme wa shoka. Akimaanisha kwamba wanaume wote akiwamo rais, waziri mkuu, wabunge na madiwani siyo kitu. Mimi sikubaliani naye. Labda kama mwanamme wa shoka katika masuala mengine," alisema kwa kujiamini.



Mwanakijiji,

Kaka, hapa umechemka. Hujasoma alama za nyakati.

Waziri Sofia Simba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS, Utawala Bora! Upo hapo?

Taasisi zote za Utawala Bora (Good Governance), ziko chini yake. Ina maana, hata ripoti za TAKUKURU hazimfikii RAIS bila kupitia kwake, achambue nini RAIS anasoma, na nini hasomi.

Sasa wewe unadhani Sofia ALIKURUPUKA tu na kubwata aliyoyabwata, BILA KUPATA RIDHAA ya RAIS?

Ametoa ujumbe, kwa niaba ya RAIS. Alipata idhini ya RAIS, bila hivyo angekuwa anajichinja KISIASA. Ujumbe ni wa RAIS mwenyewe, si wa Sofia. Habari ndiyo hiyo, MESSAGE SENT AND DELIVERED!

Nadhani mpaka sasa umenisoma.

Ntazidi KUCHOKONOA tu! WACHEME, WACHICHEME, shauri yao!

Hahahaha!

- Very interesting! Bwa! ha! ha!

- Imean rais kamtuma mengi ya kusema, duh Rais bwana!

es!
 
Pasco.. sofia alisema nini kuhusu wizi wa Benki Kuu wa EPA? amesemanini kuhusu Meremeta? amesema nini kuhusu Richmond kuwa ni kampuni Hewa? amesema nini kuhusu Dowans kuwa ni kampuni hewa? vipi kuhusu Deep Green Finance, Mwananchi, na Loliondo?

Kwake yeye maelezo yake ni "nyinyi wote ni wachafu na tunajua historia yenu kwa hiyo hamna haki ya kutuonesha uchafu wa wengine"? Ndio utawala bora huo?


Two wrongs...........................
 
Pasco.. sofia alisema nini kuhusu wizi wa Benki Kuu wa EPA? amesemanini kuhusu Meremeta? amesema nini kuhusu Richmond kuwa ni kampuni Hewa? amesema nini kuhusu Dowans kuwa ni kampuni hewa? vipi kuhusu Deep Green Finance, Mwananchi, na Loliondo?

Kwake yeye maelezo yake ni "nyinyi wote ni wachafu na tunajua historia yenu kwa hiyo hamna haki ya kutuonesha uchafu wa wengine"? Ndio utawala bora huo?

Amesahau au hajui kuwa Two wrongs............................!!!!
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
angalieni haya yalisemwa lini, kumbe uamuzi huu wa kumtimua huyu mama was too long overdue!, japo umekuja a bit too little too late but something is always better than nothing! .
Paskal
 
Huyu mama alishakuwa jipu long time kitambo
Naamini jamaa hawakuamka tu asubuhi na kumpiga chini, walikuwa watatu lakini wenzake wamepona ila yeyw inaonekana alikuwa mastermind kwenye uchaguzi mkuu akiwasaidia swaiba zake waliotimkia upande wa pili
 
Back
Top Bottom